Wanaume mnaboa

Wakitendwa wanakimbilia hapa kutuponda na kulalamika,wakiachwa wanakuja hapa kulia lia,wakikataliwa wanakuja kuloloma eti wadada hela si mapenzi.Yani kwa kweli sijui wana shida gani hao ambao kila siku thread zao ni wanawake.
 
Wataka kupumulia tundu gani hilo hadi uombe ruksa???

Kwan binadam ana matundu mangap?? Ukinitajia jib utakua ushalipata nataka kupumulia wap
 
Kuna katabia kamezuka sana umu mmu...baadhi ya wanaume wakiona wamekosa vya kupost basii uamua kupost vitu vya kutupondea wanawake ................ivi mnazani maneno yenu ni sheria kwetu????.......embu mtuache tupumue jamani kaaaaaaah

kila mtu ana uhuru wa kuandika kile akipendacho nadhani
 
Wakitendwa wanakimbilia hapa kutuponda na kulalamika,wakiachwa wanakuja hapa kulia lia,wakikataliwa wanakuja kuloloma eti wadada hela si mapenzi.Yani kwa kweli sijui wana shida gani hao ambao kila siku thread zao ni wanawake.

Wamevurugwa hawaa sio buree
 
Kuna katabia kamezuka sana umu mmu...baadhi ya wanaume wakiona wamekosa vya kupost basii uamua kupost vitu vya kutupondea wanawake ................ivi mnazani maneno yenu ni sheria kwetu????.......embu mtuache tupumue jamani kaaaaaaah

Kumbe wewe ni mwanamke
 
huoni kwa post hii unawashawishi kuendelea??
 
mbona kuna post nyingi humu zinapondea wanaume pia? Au mnataka 50/50 hadi kwenye vipondo mkipondewa mara 10 nanyi mponde idadi sawa
 
Kwan binadam ana matundu mangap?? Ukinitajia jib utakua ushalipata nataka kupumulia wap

Weye si ndiye uliyeomba ruksa ya kupumua, sasa mbona wazunguka kujibu...

Haya mtoto mzuri hebu nambie kwa sauti ya chini wengine wasisikie...
 
C wataka nikunong'oneze ehne....napumulia kwenye tumboo twangu
 
Last edited by a moderator:
Kuna katabia kamezuka sana umu mmu...baadhi ya wanaume wakiona wamekosa vya kupost basii uamua kupost vitu vya kutupondea wanawake ................ivi mnazani maneno yenu ni sheria kwetu????.......embu mtuache tupumue jamani kaaaaaaah

Nilizani weye hayakugusagi, Ila mnaboa bana (kama we si miongoni mwao)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…