Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 3,971
- 12,474
Mwamba moyo wako uko upande gani[emoji23]
Hata kama hakuelewa labda..ujasiri wa kufanya hivo mbele ya umma anautoa wapi huyu bintiyeye ameshika chenye umuhimu kwake[emoji23]
Jibu swali[emoji23][emoji23]
Wewe ukiwaangalia unawaona wako sawa?Hata kama hakuelewa labda..ujasiri wa kufanya hivo mbele ya umma anautoa wapi huyu binti
Malezi.Hata kama hakuelewa labda..ujasiri wa kufanya hivo mbele ya umma anautoa wapi huyu binti
Mwamba nae katulia tuli..hata amrekebishe mwenziewewe ukiwaangalia unawaona wako sawa?
mimi nadhani ni wasukuma
Oyaaa mshamba_hachekwi 🤣🤣wewe ukiwaangalia unawaona wako sawa?
mimi nadhani ni wasukuma
Labda ndoa ya kupangwa[emoji38][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu mbona amenuna?
Itakuwa amelazimishwa😩💔Labda ndoa ya kupangwa[emoji38][emoji38]
Malezi yapi?Malezi.
WazaziMalezi yapi?
Na maelezo ya kungwi yamechangia.anavyoonekana akili yake haiko hapoItakuwa amelazimishwa[emoji30][emoji174]
Hakuna malezi ya hivyo sijaonaWazazi
EeeehIko wapi na wapi yani
Au we msomaji moyo uko upande gani
[emoji116][emoji116]
View attachment 2783687View attachment 2783689
Kwaio ni nn sasa??Hakuna malezi ya hivyo sijaona