UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,400
- 1,017
Wanaume wanatia huruma sana siku hizi hasa kwenye sex. Utakuta hana uwezo hata wa kumfikisha mkewe kileleni, hivi naye huyu anajiita mwanaume au kwa sababu ili uwe mwanaume ni sharti uweze kumridhisha mkeo kimahaba? tena wanaume wengine wanadhani kupiga bao nyingi ndo kumtosheleza mkewe, kumbe havina hata mahusiano.
TENA kama mkeo humfikishi anakuona kama mwanamke mwenzake na kumnuka ili mwanamke aridhike anahitaji kupata si chini ya mishindo 9, Hivyo wanaume jitahidini kwa hili bila hivyo utamtoa mkeo kafara kwa wanaume wa kazi na wale wakimkamata wanamshughulikia vizuri sana.
Pili haya humfikishi mkeo kileleni na hata kubembeleza huwezi unamkuta mkeo kakerwa na jirani basi na wewe unadunda, hujali familia na unajitapa vipi wewe ndo kichwa cha nyumba wakati watoto na mkeo hujui wana hali gani wanakukula nini wanavaa nini ila ukikuta toto lako limevaa vizuri unasema umependeza mwanangu baadae tutaenda tembea shame on you.
MKEO ANAJENGA NYUMBA; Mkeo anajibana anajenga unakuta mwanamke amejibana kajenga kakibanda kake wewe unawaambia rafiki zako kwangu pale kisa pana nyumba nzuri na rafiki zako wanakuambia umejitahidi unajibu si unajua maisha ni kupambana shame on you!
TENGA MDA WA KUKAA NA FAMILY; wanaume wengine utakuta kila siku yeye busy na kazi na mavitu mengine ambayo si ya msingi huku hajui family yake ikoje na utakuta limwanaume hili linajitapa MKE wangu hana shida nimeshamnunulia kila kitu mchele kilo 50 unga maharagwe, pumbavu hivyo si vya msingi kuliko wewe.
KUKAA VIJIWENI; wanaume hapa wamezidi utakuja anatoka kazini saa kumi na 11 anakula anaenda kijiweni mpaka saa 2 wanachojadili huko kijiweni si umbea tu kaa na mkeo na watoto wako huko vijiweni hakuna lolote tofauti na kukuchelewesha tu. Unajua wanawake wanaridhika na vitu vidogo sana, jitahidi kila ukitoka unamletea Ivory moja tu.
Na jua kuwa kujiita kichwa cha nyumba si kukaa vijiweni, humfikishi mkeo, kufoka, kuwa na masimango ya kijinga, kuwa serious sana. Penda mkeo, mpe kila alohitaji unaloliweza, Mkeo ni zaid ya kijiweni