Wanaume mna laana

Sasa mtoto wa broo ananiamkia Shikamuuuoooo bamdoguuuuu unategemea nini kitafuata hapo
 
CHONDE CHONDE, USIMTOE MWANAO SADAKA, ATAFUNULIWA MIKUNJO....OHOOOO
 
akishaliwa ni`tag dadeki..
 


Dada kritika huyu baba mdogo si Diamond kweli? Maana kale kajamaa kana nyege za nzi sana.
 
Caren jina la shule nimeliandika kimakosa hapo sikutaka ajulikane how can i edit?
Hiyo title ya uzi wako ui-edit tafadhali. Unanikosea heshima hata mimi. Mambo yako na baba mdogo wako usinijumuishe na mimi.
Nitake radhi!
 
Kaa hatari bamdo anataka kucheza home ground nadhani itakuwa ni bamdo wa kimjini mjini
 
Sema FAMILIA YAKO INA LAANA pumbavu
 
Hivi wewe Dada unadhani huyo mwanao na dingi mdogo ndo wanaanza? Kwa kuitana majina hayo tayari washakulana hao,na lazima mwanao atampigia kumweleza kila kitu. Imekula kwako
 
Wewe kivuruge pia unataka ukishafumania mmalizane madeni yenu,duuuh
Huyo nyangumi mpuuzi tu mume wangu kabla hajatangulia mbele za haki alikua anamdai pesa nyingi tu ndio maana haji kunifuata kuniambia nimlipe pesa za hiyo gari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…