Wanaume mna laana

Sasa wewe Shemejio mmoja mwenye tabia mbaya unajumuidha kwa wanaume wote we nae ni wale wale kama huyo jamaa!!
 
Mmh mkuu wasimfilimbe tyuu jmn
 
Caren jina la shule nimeliandika kimakosa hapo sikutaka ajulikane how can i edit?
Kama unatumia app just tap bandiko lako ukishafanya hivyo juu kulia itakuletea vitufe viwili cha kureply kingine kama cha setting hivi select hicho kitakupa option ya kuedit ubadilishe

Pole sana
 
Kama stori hii na zingine zote ambazo umekuwa ukizileta hapa JF ni za ukweli, basi hiyo familia yenu yote imejaa "wazinzi" na "waasherati". Wewe mwenyewe ulituambia kuwa ulichepuka ili kumkomoa mume wako mjinga mjinga, na huko ulipoenda kuchepuka ukafikishwa kileleni mara 5.

Leo hii unatuambia kuwa shemeji yako, baba yake mdogo na binti yako anamtongoza huyo binti yako Caren.
Wazungu wana msemo wao wanasema; "an apple does not fall far from its tree"...... siyo ajabu hata huyo "caren" wako akaja kuwa kama wewe au hata zaidi ya wewe kwenye zinaa. Kama huyo binti yako Caren alikuwa hataki kuliwa na baba yake mdogo, angekuja kwako na kumshitaki, na wala asingefanya siri. Lakini hata jina lake alikuwa hajali-save kwenye simu yake ili iwe siri.

Zinaa huwa inarithiwa kutoka kizazi hadi kizazi, inawezekana hata wewe umerithi hiyo tabia kutoka kwa mzazi wako mmoja! Hivyo basi siyo tu huyo mwanaume amelaaniwa, hata wewe pia unalaana.
 
Fafanua kuhusu gari analokudai maana hio ndio ndoana aliyokukamatia mdomoni
 
Wewe na huyo ba mdogo wote wendawazimu! namsikitia mwanao kwa kukosa mama na ndugu wenye hekima.
 
Hyo laana unaileta wewe kwa kutaka ndugu zako wakiume walawitiwe....halaf peleka pesa ya watu,ukipenda kula vya watu na vyako huliwa
 
Fafanua kuhusu gari analokudai maana hio ndio ndoana aliyokukamatia mdomoni
Huyo nyangumi mpuuzi tu mume wangu kabla hajatangulia mbele za haki alikua anamdai pesa nyingi tu ndio maana haji kunifuata kuniambia nimlipe pesa za hiyo gari
 
Hao wanaitwa opportunistic and non loser men! Ni hatari sana kukiacha kichwa cha chini kifanye maamuzi ya mwisho.
 
Huyo nyangumi mpuuzi tu mume wangu kabla hajatangulia mbele za haki alikua anamdai pesa nyingi tu ndio maana haji kunifuata kuniambia nimlipe pesa za hiyo gari
Basi usilalamike kama kaamua kujilipa kwa njia mbadala...wacha atengeneze njia vzr kwa mwanao
 
Siku sema ni mume wangu baba nancy yupo mbele ya haki miaka kadhaa sasa.

Yule ni mjinga mjinga tu asie na mbele wala nyuma
 
Basi usilalamike kama kaamua kujilipa kwa njia mbadala...wacha atengeneze njia vzr kwa mwanao
Na mimi naenda kumtengeneza njia vizuri nitavaa hata dilido nihakikishe napiga tako mbili tatu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…