Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Wanaume mliopata wapenzi JF mliwezaje?

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,245
Reaction score
2,848
Nimekuwa nikiwaza sana kuhusu wanaume waolifanikiwa kupata wapenzi humu JF kwamba waliwezaje? Na confidence waliitoa wapi? yakuweza kujiamini kiasi hicho.

Nasema hivyo kwa sababu ukijaribu kufatilia michango na maoni ya watu kuhusu masuala ya kimapenzi, kiuchumi na kielimu utabaini ya kwamba kila mtu JF yuko vizuri sana katika nyanja zote hizo.

Mfano; Mapenzi kila mwanaume ni fundi wa kugegeda tena mwenye uwezo wakumaliza dak. 60 kwa bao moja, ukiachana na hivyo wanajisifu wanajua sana mapenzi na taaratibu ya kumwandaa mwanamke ili umegegede afurahie tendo.

Hapo juu ni mfano moja wapo tu, ya majivuno na masifa wanayoyaonyesha wazi wanaume wa JF, ukiachana na habari za kila mwanaume wa JF isipokuwa mimi, wote waliobaki wamesoma hadi chuo, na maisha yao kiuuchumi wako vzr!

Mbwembwe zote hizo ndio zimenifanya leo niwaulize nyie wanaume muliopata wapenzi humu kwamba muliwezaje? maana mimi naona kama sina vingezo hata kimoja kati ya hivyo vyotee.

mfano mimi hutumia dak 5 hadi 8 kufunga bao.!
 
Mi nshawala mademu wengi tu wa humu JF.

Ukishawajulia wala hawasumbui kabisa.

Kwa hesabu ya haraka haraka nshakula kama 13 hivi tokea nijiunge mwaka 2006.

Ipo siku ntawaorodhesha kwa majina yao (ya humu JF) kabisa.

Stay tuned and don't change that dial.....
 
Mi nshawala mademu wengi tu wa humu JF.

Ukishawajulia wala hawasumbui kabisa.

Kwa hesabu ya haraka haraka nshakula kama 13 hivi tokea nijiunge mwaka 2006.

Ipo siku ntawaorodhesha kwa majina yao (ya humu JF) kabisa.

Stay tuned and don't change that dial.....

Huna ubavu wa kuwaorodhesha nakwambia......utaongea tu hapa
 
Dah mim leo ndio nimejua kama brother ni mkwongwe humu ndani alikuwa miongoni mwa mafounder wa hi kitu alifaa apewe hata uadmini kama akina fang, na innovetor big up to you brother hao watoto ulistahili kuwatafuna tu, ni haki yako wewe sindo ulikuwa unawaonesha njia watakuambia nini tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom