habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,788
- 8,755
Wanaume wa leo sio??Wanaume wa Leo mkoje, mbona mnalalama sana?
Nyuzi nyingi mno za kulalamika mnaandika, kwan mnataka mfanyiwe nn na Wanawake ili muache kulialia?
Mnaboa kishenzi,
Km vipi jibadilisheni muanze kuvaa magauni km mnaona Wanawake wanafaidi
Bure kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Asa kwann huwafundi wadogo zako maana wamezidiWanaume wa leo sio??
Bora mi ni mwanaume wa juzi...
Bora kupata watoto wakike wte kuliko dumeNgoja waje mi silalamikag.
Hapo ndo unapofeli sasa naomba mungu mtt wangu wa Kwanza awe wa kiume
Wanaume wa Leo mkoje, mbona mnalalama sana?
Nyuzi nyingi mno za kulalamika mnaandika, kwan mnataka mfanyiwe nn na Wanawake ili muache kulialia?
Mnaboa kishenzi,
Km vipi jibadilisheni muanze kuvaa magauni km mnaona Wanawake wanafaidi
Bure kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan mnalalamika sana siku hizKama uliyeandka huu uzi ni mwanaume bhs akina delicious ni wengi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wakina juma lukole?Kama uliyeandka huu uzi ni mwanaume bhs akina delicious ni wengi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Delicious katika uboooooora wakeWanaume wa Leo mkoje, mbona mnalalama sana?
Nyuzi nyingi mno za kulalamika mnaandika, kwan mnataka mfanyiwe nn na Wanawake ili muache kulialia?
Mnaboa kishenzi,
Km vipi jibadilisheni muanze kuvaa magauni km mnaona Wanawake wanafaidi
Bure kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamjawahi kujua nn mnataka toka Kwa WanawakeMkiwa mnaridhika na hali zetu au kuonesha appreciation tungekaa kimya.
Ila mna tamaa sana shenzi type
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi ndo mnajua kwann mnalalamika sanaMwanaume unalalamika ili iweje??
Sent from my iPhone using JamiiForums