sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Honey kupenda hela sio vibaya kama ni zako mwenyewe, tatizo huyu bidada anapenda hela za watu!... Mbaya sana aisee, ona kanyimwa amekuja kulalamika huku.Halafu ukipigwa mtungo unaenda mahakani unadai umbakwa au sio wewe endelea kupenda hela