Wanaume mabahili acheni bwana hii ilishapitwa na wakati, kama umeishiwa si useme tu??

Status
Not open for further replies.
Inaonekana binti una line za simu za mitandao yote yenye huduma za kutuma na kupokea pesa.Hongera kwa kujiajiri.
 
Tatizo lake anapenda aonekane matawi ya juu kila siku na anachukua vya bei tu au hajui starehe gharama?? Vieleavyo vimeundwa bwana alaaaa!
Hivi hapa unamzungumzia mpenzi wako wa ukweli au??? Wanchekesha ujue!.. Sasa vimeundwa na nani kama sio yeye?
 
kama ulihisi hana kwanin umsumbue? Yan wanawake kama wewe mie ndo nawakiaga huna hata chembe ya mapenzi ni kumaliza shida zako na Outing.

Ukinizingua nakumwaga, wanaume mlivyo wengi siku hizi hata nikisema sasa hivi nitembee tu kidogo kutoka posta mpaka feri nitatongozwa na wanaume zaidi ya kumi.
 
Hili jike la Dar, majike ya Dar bwana yanapenda hela kama ATM , halafu linataka hela ya pombe! Da hii balaa au mkosi? Kama ningekuwa mimi ningepiga chini kabisa hili jike la kizungu nikatafuta la kienyeji
 
Unampenda kwa dhati huyo baby wako?.. Sio vizuri kuja kumsema huku, maisha kuna kupata na kukosa sasa wewe wataka apate kila siku? Wewe pia sio vibaya ukimpa ofa wakati ameishiwa.

Ni mme wa mtu, sina haja ya kumpenda kwa dhati kwani najua hatanioa ananichezea tu kwa hiyo kumchuna ni halali yangu!!
 
Imenikera sana tena sana, juzi nimetoka na jamaa yangu tumezoea kupanda tax eti kanitembeza kwa mguu, hlf tulipofika akaagiza soda kumuuliza baby vp leo kaanza ooh! Unajua ATM yangu ina matatizo mara imefungiwa mara imekuwa ghafra jana sikwenda benki mi nikatulia.

Sasa leo namtumia plz recharge me ananipigia simu ooh! Baby si unajua niko site? Yaani huku ni porini na vocha hakuna. Sasa unamdanganya nani?

Siku hizi kuna SIMBANKING, kuna MPESA, TIGOPESA NA AIRTEL MONEY, sasa hapa inakuwaje unaniambia mara ATM mbovu si ufanye transaction uingize kitu mpesa tuendelee kutanua? Au kama umefulia si useme coz najua mshahara mpaka next week, aaagh uongo wote wa nini?

Kama umo humu naomba uione, umenikera sn mambo ya site mimi hayanihusu na ukikuta umeibiwa uanze kulalamika.

Huyu kibuzi wako au ndiye my love wako? Nyinyi ndio mnaotufanya sisi wanaume tujihusishe na vitendo vya wizi ili kuwaridhisha kwenye suala la kifedha. Kwani mpenzi wako hawezi kuishiwa au ana guarantee na pesa?
 
kama ulihisi hana kwanin umsumbue? Yan wanawake kama wewe mie ndo nawakiaga huna hata chembe ya mapenzi ni kumaliza shida zako na Outing.

Ukinizingua nakumwaga, wanaume mlivyo wengi siku hizi hata nikisema sasa hivi nitembee tu kidogo kutoka posta mpaka feri nitatongozwa na wanaume zaidi ya kumi.
 
Ni mme wa mtu, sina haja ya kumpenda kwa dhati kwani najua hatanioa ananichezea tu kwa hiyo kumchuna ni halali yangu!!
Sasa kumbe watokwa povu na mme wa mtu??? Kumbe wataka akupe pesa wewe afu watoto wake washindwe kwenda chooni??? Ukiona hivyo ujue alimpeleka wife shopping ufaransa ndio mana akakosa za kukuhonga wewe! Tafuta mume wako atakupa kila utakacho!
 
Ukinizingua nakumwaga, wanaume mlivyo wengi siku hizi hata nikisema sasa hivi nitembee tu kidogo kutoka posta mpaka feri nitatongozwa na wanaume zaidi ya kumi.
Ukitegemea kutongozwa ndio maisha yasonge ni vibaya sana, ikitokea siku hujatongozwa na maisha nayo yatasimama hutaamini. Jitahidi ufanye kazi ndugu yangu, raha sana kujivunia ulichonacho hata kama ni kidogo ni chako!
 
Ukinizingua nakumwaga, wanaume mlivyo wengi siku hizi hata nikisema sasa hivi nitembee tu kidogo kutoka posta mpaka feri nitatongozwa na wanaume zaidi ya kumi.

Halafu ukipigwa mtungo unaenda mahakani unadai umbakwa au sio wewe endelea kupenda hela
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom