Wanaume mabahili acheni bwana hii ilishapitwa na wakati, kama umeishiwa si useme tu??

Status
Not open for further replies.
Halafu ukipigwa mtungo unaenda mahakani unadai umbakwa au sio wewe endelea kupenda hela
Honey kupenda hela sio vibaya kama ni zako mwenyewe, tatizo huyu bidada anapenda hela za watu!... Mbaya sana aisee, ona kanyimwa amekuja kulalamika huku.
 
kahaba mkubwa wewe!
Una spirit ya kichangudoa wewe dada... Na utaja pigwa mtungo kwa kuendekeza kuhudimiwa.
Mphamvu Mkuu, sijui kilichokukera nini hapa (hapa sio MMU ni chit chat). Lugha uliyotumia hapa mkuu sijaipenda hata kidogo na ungepaswa kumuomba radhi Dorrice unless wewe uwe ndie uliyetenda hayo.
 
Huyu kibuzi wako au ndiye my love wako? Nyinyi ndio mnaotufanya sisi wanaume tujihusishe na vitendo vya wizi ili kuwaridhisha kwenye suala la kifedha. Kwani mpenzi wako hawezi kuishiwa au ana guarantee na pesa?

Mi ndo najua alipofuata kwa mara ya kwanza aliniambia maneno gani akanishawishi mpaka akanipata.
 
Mwanamume kumgeuza kitega uchumi si Sawa....

inaelekea matumizi yako ni makubwa kuliko kipato cha Mwanaume wako sasa dawa yake ndio hiyo wewe unataka aibe? punguza matumizi yako upate mapenzi ya ukweli...

Inaelekea upo juu sana Binti... Mwaume akikosa pesa mwendo ni fix tu kwenda mbele Sipati picha huyo jamaa kwa jinsi ulivyomsababibishia madeni huko atakfutapo kipato chake anatamani akuache lakini anakupenda... hajui kama wewe unapenda Pesa tu na si mapenzi ...

Wanaume tuna shida kumbe
 
Mphamvu Mkuu, sijui kilichokukera nini hapa (hapa sio MMU ni chit chat). Lugha uliyotumia hapa mkuu sijaipenda hata kidogo na ungepaswa kumuomba radhi Dorrice unless wewe uwe ndie uliyetenda hayo.

niliyoyasema ni maneno yangu, na ninayasimamia.
Hata ingekuwa MMU hapa, as long as sio jukwaa la jokes, tunaamini alichokisema, ni ukahaba huu. Kitobo in exchange for money and service, uongo?
Tupo katika mapambano ya kuwafanya wanawake wawe na fursa sawa na wanaume, will this happen under haya mazingira?
Ameshindwa kumueleza 'mpenzi' wake kuwa amekereka na kutopewa pesa nae, sijui kutembezwa kwa miguu n.k n.k mpaka aje kulalamika humu jamvini?
She's gold digger fo sho, and I mean it!
Rejea uzi wangu kuhusu matusi, kwa vile wewe ni mtaalamu wa lugha nadhani unajua kuhusu leksikoni ya Kiswahili, sidhani kama kuna tatizo katika lugha yangu.
Sawasawa?
 
Mapenz c pesa dada angu au b4 ulkuwa mdananda nn coz akiwa nazo unampenda akiishiwa unamponda, huo ni wiz m2pu
 
...hahah!
eti m-pesa,mara sim-banking,pambaf!..

kwanin usianzishe uhusiano wa kimapenzi na "b.o.t" au "hazina"?

benchooooooiiiid
 
Not bad at all...

Nilikungoja kwa lunch,sikukuona...

Huyu Dorry vipi tena...
Shemu zile hasira za nduguyo niliamua nikalale ili zipungue....nilikupigia kukujulisha kuwa sitaweza kufika simu yako busy mda wote....usijali kesho tukijaliwa!....

Huyu dorry mie pia bado kumuelewa ila naendelea kumsoma..
 
Fine... Basi tutaonana mtaani...
 
Mi ndo najua alipofuata kwa mara ya kwanza aliniambia maneno gani akanishawishi mpaka akanipata.

Dada Dorrice ebu tafuta wimbo wa Teairra Marie unaitwa Sponsor ni mzuri sana usikilize utakusaidia sana katika harakati zako za u-golddigger.
 
Haya wee ! Mwingine tena huyu . Sijui ametokea chocho gani .
 
niliyoyasema ni maneno yangu, na ninayasimamia.
Hata ingekuwa MMU hapa, as long as sio jukwaa la jokes, tunaamini alichokisema, ni ukahaba huu. Kitobo in exchange for money and service, uongo?
Tupo katika mapambano ya kuwafanya wanawake wawe na fursa sawa na wanaume, will this happen under haya mazingira?
Ameshindwa kumueleza 'mpenzi' wake kuwa amekereka na kutopewa pesa nae, sijui kutembezwa kwa miguu n.k n.k mpaka aje kulalamika humu jamvini?
She's gold digger fo sho, and I mean it!
Rejea uzi wangu kuhusu matusi, kwa vile wewe ni mtaalamu wa lugha nadhani unajua kuhusu leksikoni ya Kiswahili, sidhani kama kuna tatizo katika lugha yangu.
Sawasawa?
Mchanee.....mchane....uyo malaya tena changudoa first clas yan anageuza wanaume km vitega uchumi,ictoshe alikukuta umechoka akaanza kukusop sop af unaleta maringo et ee....kuna tigo pesa....m-pesa...iv unafikiri izo technology mmeekewa nyie malaya,af naic ata pete ya uchumba una jiulize kwann?coz ameshakuona huna mana kwake,huna tofaut na makahaba wa bugurun,tandika na mwananyamara,km utamu unao peke yako bwana.
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom