wanaume lazima tuandamane

wanaume lazima tuandamane

Joined
Aug 10, 2011
Posts
35
Reaction score
13
Sisi sio ATM mashine bana !
 

Attachments

  • MAANDAMANO YA WANAUME.jpg
    MAANDAMANO YA WANAUME.jpg
    8.9 KB · Views: 478
Message sent kwa Kongosho,MadameX,AshaDii,Mwali,Russian Roullete,Erotica,Smile, na wengineo
 
nachokipenda zaidi kwenye hii picha, ni namna sura ya jamaa inavyomaanisha kilichoandikwa.
 
Hayo mbona ni katika wajibu wa maumbile yenu, ajiyetaka kuprovide na abadilishe jinsi, lol!
 
uyo anakwepa majukumu,husband lazima awe atm machine kwa familia yake
 
Back
Top Bottom