Wanaume : Kwanini mnapenda kula bar?


Apike hata nyasi kwa uwezo tulionao nitakula. Ila wajibu wake kasahau. Nyodo nyingi sana. Chai asbh mpaka ugomvi, lunch ya saa saba utaipata saa tisa. Menu yenyewe kama makapi ya nguruwe. Atajiju. Bar Moja
 
Last edited by a moderator:
Wakienda bar wanakula makongoro, mapupu, vichwa, ulimi etc.....
vyakula vimepikwa na kuandaliwa kwenye mazingira machafu
Comeon grow up and change ur bad habits. Chakula kizuri chapatikana nyumbani.

kama wanaume wanapenda kula Bar,...wanawake wanapenda kula wapi?
 
Mimi huwa sielewi kabisa hii tabia. Naongozana na washikaji tumetoka job tunarudi home, wanasema tupitie bar tupate soda moja tupoze koo. Mnafika pale jamaa anatandika ulimi nusu na ndizi tatu halafu ndio anaenda home. Sasa mi nawaambia sili kwa sababu nikila hiyo michemsho home ntashindwa kula, na wife anapika kishenzi. Msosi anaoandaa siwezi ulinganisha na hivyo vya bar. Jibu lao nimepewa limbwata. Sielewi kabisa yaani!!!
 
Na wala usijisumbue kuwaelewa kaka yangu...waache with time watakuja kukuelewa (watajua mjanja nani kati yako na wao)

Ila kukushauri tu usipende kuwa na urafiki na watu ambao mko tofauti kitabia...baba yangu uwa ananisimulia alivyoanza kunywa pombe sababu ya marafiki wakati kwao ni swala tano...alianza kunywa ameshamuoa mama na ana watoto 4...na ikafika kipindi bila bia hawezi kulala.

Marafiki marafiki si wazuri. Alikuwa akienda disco anawashangaa wenzie wanavyokunywa na kuvuta sigara...taratiibu nae akajiunga.


 

kwa uchambuzi huu , nitafute nina zawadi yako besti yangu.........

Mama yuko bize toka asubuhi anapita pita kama anasherehe. Chakula cha mchana kinaliwa saa tisa na hakieleweki hata test ya chakula imepotea. Mi naona waacheni tu wale hotelini au kwa mpango wa kando.

hebu waambie wabadilike bana..........
 
Haijalishi wakati mwingine huwa tunataka matatizo wenyewe, eti mwanaume anarudi anakwambia ameshiba unachukulia poa tu, lazima aandike statement amekula wapi so siku nyingine lazima ale kiduchu coz chakula changu lazima ale.

Chakula chako chenye ulazima wa kula ni kimoja tu. (DUDU) Vingine utavumilia tu
 
Chakula chako chenye ulazima wa kula ni kimoja tu. (DUDU) Vingine utavumilia tu

wewe huwezi kula changu coz sio mume wangu wala hiyo dudu hutakaa uonje. Chakula mume wangu anakula hata kama amekula huko. kwako hayakuhusu naongelea kwa mume wangu.
 
wewe huwezi kula changu coz sio mume wangu wala hiyo dudu hutakaa uonje. Chakula mume wangu anakula hata kama amekula huko. kwako hayakuhusu naongelea kwa mume wangu.

Nilimaanisha mumeo. Mimi nina imani sitaionja kwa kweli.
 
Huyu mleta mada sijawahi kuelewa kama ni me au ke.

Maanake ana mada ambazo
amejitambulisha kama "ke" na nyingine "me" au anazo zote nini?

Mara Grace aliyejaaliwa Mara Mama jj Mara Bujibuji.

Unaweza tongoza njemba mwenzio humu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…