Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Rudi kachukue mkeo na watoto mtoke wakale nao vya hotelin ,au pesa ya kutosha wale hadi wabananeHaya bwana tumekuskia na ulivyoandika kwa Uchungu umefanya nigeuze njiani ndiyo nilikuwa naenda kuianza weekend na Heineken.
We unaona ni tabia nzuri,,?Hiyo nayo tabia mbaya?
Sent from my SM-J700F using JamiiForums mobile app
Haya.Rudi kachukue mkeo na watoto mtoke wakale nao vya hotelin ,au pesa ya kutosha wale hadi wabanane
Una hakika wewe ni mke wa ndoto yake? Kipenzi cha roho yake?! Au amekuoa kwa kufuata uhalisia sio hisia.! Kama uliolewa kwa uhalisia kwamba imefikia kipindi jamaa anataka mke mwenye sifa fulani nawe ukaangukia hapo pole..!!!Inakuwaje unaacha kunywa chai kwako unaenda kunywa chai hotelini ,unakunywa chai ya maziwa kwanini usinunue kwako maziwa mkeo akapika mkanywa na wanao,,,hujisikii vibaya wala kujishtukia au kujishuku?
Sio jambo jema kabisa,na sio haki yaan wanawake hebu kuweni wakali kabisa waume zenu muwabane wawe wanakunywa chai home kama ni ya rangi mnywe wote,,,halaf muwadai pesa za matumizi waongeze wenzenu wanatanua huko bar bill kubwa laki au zaidi we unakunywa chai ya rangi mnywe chai ya rangi kwa kupenda n mle vizuri
Wanaume na nyie acheni ubahili kama mnavyoonyesha ubavu na ujeuri wa pesa bar,tunawaomba na majumbani mwenu muanze hiyo jeuri muache matumizi ya kutosha watoto wale vizurii, sio watoto kula vizuri mpaka matumbo yanapata mshituko maana hayajazoea kula vyema
Pendeni familia zenu basi ,,wanasema family first
mkiwa bar utasema nyumbani pako vyema ,ukienda nyumbani hovyoo hovyo watoto wanakula kwa kulamba lamba tu hawashibi sio vizuri kabisa
Nadhani nimeeleweka na mjirekebishe mle hotelin kwa sababu maalumu alaa
Nipitie tuongozaneHaya bwana tumekuskia na ulivyoandika kwa Uchungu umefanya nigeuze njiani ndiyo nilikuwa naenda kuianza weekend na Heineken.
Rudi home Mkuu kwa heshima ya mtoa mada[emoji23]Haya bwana tumekuskia na ulivyoandika kwa Uchungu umefanya nigeuze njiani ndiyo nilikuwa naenda kuianza weekend na Heineken.
Upo sahihi MkuuInakuwaje unaacha kunywa chai kwako unaenda kunywa chai hotelini ,unakunywa chai ya maziwa kwanini usinunue kwako maziwa mkeo akapika mkanywa na wanao,,,hujisikii vibaya wala kujishtukia au kujishuku?
Sio jambo jema kabisa,na sio haki yaan wanawake hebu kuweni wakali kabisa waume zenu muwabane wawe wanakunywa chai home kama ni ya rangi mnywe wote,,,halaf muwadai pesa za matumizi waongeze wenzenu wanatanua huko bar bill kubwa laki au zaidi we unakunywa chai ya rangi mnywe chai ya rangi kwa kupenda n mle vizuri
Wanaume na nyie acheni ubahili kama mnavyoonyesha ubavu na ujeuri wa pesa bar,tunawaomba na majumbani mwenu muanze hiyo jeuri muache matumizi ya kutosha watoto wale vizurii, sio watoto kula vizuri mpaka matumbo yanapata mshituko maana hayajazoea kula vyema
Pendeni familia zenu basi ,,wanasema family first
mkiwa bar utasema nyumbani pako vyema ,ukienda nyumbani hovyoo hovyo watoto wanakula kwa kulamba lamba tu hawashibi sio vizuri kabisa
Nadhani nimeeleweka na mjirekebishe mle hotelin kwa sababu maalumu alaa
[emoji6]Haya bwana tumekuskia na ulivyoandika kwa Uchungu umefanya nigeuze njiani ndiyo nilikuwa naenda kuianza weekend na Heineken.
Eeh! Mtaenda kuliamsha dude nyie msiongozaneNipitie tuongozane
Very true wanawake wanajisahau sanasasa mwanamke kupika hujui, kuamka unaamka saa tatu, sasa kwanini nisile hotelini? jirekebisheni nyie kwanza na sisi tutajirekebisha.