Wanaume kwanini hampo romantic?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndo haohao.

utakubaliwa kuingia kwenye kifungo cha ndoa na mtu wa hivo?
si mateso na utumwa huo?
Unajua ndoa zinatupa vichaa sana wanawake,kama kaisotea muda mrefu hatajali kama mwanamme wake hayuko romantic anazama tu
 
hujanielewa mzee baba
 
Ndio kusema tunakakamaa kama mkate uliokauka baada ya kumwagiwa chai hahahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani umekutana na wangapi mpaka sasa....!!!!?
 
umeeleza vizuri baba..nimekuelewa.
na kwa upande wa wanawake je..kama unavoona wanaume wengi hapa wanamika kuombwaombwa hela...
 
hiki sometimes kinasababishwa na majukumu kuwa mengi ya kikazi ndo mana unakuta kuna muda mwanaume anabadilika anakuwa romantic siku na siku sio siku zote...pia mwanamke mwenyew unatakiwa ujiweke katika mazingira ambayo yatamshawishi mwanaume awe romantic katika mazingira yenu husika
 
Nimekuelewa vizuri sana kuwa wanaume wengi sio romantic. Sawa kabisa ila, hebu tujiulize kidogo, wangelikuwa sio romantic bibi na mama zetu wangetulia hivyo kwenye ndoa zao??
wasingetulia..but nimeguaia pande moja..wanaume..but najua ni jukumu la mwanamke pia.
mahaba yakikosekana mtu anaishije ndani ya ndoa?
 
kweli kabisa
 
hi
kweli kabisa
hivyo basi ielewekwe kuwa mwanamke ana nguvu kubwa sana ya kumfanya mwanamme awe romantic kulingana na mazingira atayojiweka yeye mwenyewe hasa wakiwa privacy na uromantic unahusu sana faragha ya wapenzi ingawaje wanawake wengi wanapenda mume wake amuonshe vitu vya faragha wanapokuwa wapo public kit ambacho ni wanaume wachache sana wako interested na hicho kitu katika mazingira ya kawaida lakini mwanaume akiwa faragha yupo romantic hatari kuliko mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…