Wanaume kwanini hampo romantic?

sio lazma awe mwanaume..nimwaonhelea sababi nyie ndo vichwa vya mahusiano...nyinyi ndo waamuzi wakuu mahusiano yaende vipi..

unaweza kumuita mpemzi...na mengineyo kama hupendelei ya kizungu
 
true dat..
ila inategemea kama yu tayari kubadilika..ntamfundisha nmavotaka awe.

ila wanaume romantic wapo sana
 
Lugha ya asili haiwezi kuwa romantic mkuu.
Neno lenyewe ni romantic vije ulitekeleze kiswahili


Sent using Jamii Forums mobile app
kimahaba-romantic.

mpenzi nakupenda kama wali wa nazi


laaziz
nakuhitaji..nimekukumbuka.

mahabuba niambie unataka nini

nataka nikuambie ni jinai gani nakupenda..we tulizo la nafsi yangu..kwako nimefika wengine siwaoni

si kama hivo..unashindwa?
 
Unakuta mwanamke anakuwa romantic akitaka kuomba hela na ukimwambia ntakupa siku fulani anaitikia haya na story zinakufa hapo mpk hiyo siku ifike ndio utaona msg...
tabia zao tu..ukiona hivi si hayuko deep in love na wewe.
mwambie sina kazi siku hiyo atakublok kila kona
 
Tatizo wanawake wanataka kuiga wanayoyaona kwenye TV.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli..uzungu usipitilize..ni kupnyesha upendo tu..ka kuna asivokubaliana navyo unaviacha..unaendelea na vingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…