Wanaume kwanini hampo romantic?


ushazeeka tayari...kina zaid ya miaka kumi
kuzeeka wapi mkuu sema labda ni kuishi huku mbali na mijini huku kwetu nikifika toka shabani kuoga kula kitandani mikono yenyewe utazani ni mguu utampapasa vipi!!
 
Toka nazaliwa sikuwahi kuona Upendo Wa mwanaume toka nakua najua mahusiano sijawahi kuonyeshwa Upendo sasa Mimi nachojua wanaume hawana Upendo niwakatili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnafanyiwa vyote hivo juu plus pesa na shoo ya maana lakini bado mnacheat! Mnamaana kwani ninyi! Bora kuwa kauzu tu
 
ving'asti ndio nux,ukitaka mahusiano
 
Utakuwa bado unaishi kwenu au unalala kwenye makochi ya shemeji yako.


Ila kama ungekuwa unajua mwanaume anahangikia Kodi ya Nyumba, bili ya maji na umeme, Fedha ya taka, chakula, Kusaidia ndugu , Watoto , Mke nk


Usingekuja na hayo mapenzi ya kifilipino.


Hivi umewahi kumuuliza mama yako alikuwa anafanyiwa yote hayo na baba yako mbona mpaka sasa wamezeeka wapo pamoja ...


Acheni kuiga mapenzi ya kwenye tamthilia mtaishia kuumizwa mpaka mjute

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Mzee mwenzangu naona umechukua siti ya mbele... Au msaidizi wa dereva?
 
Kazi yote hiyo kisa nini, mbunye!... Maden yananifanya niwe hivyo... "Panua bhana, tunapoteza mda wa fweeeedha".. Maisha haya tena!

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Na nyie mkiomba hela muombe kiromantic pia,
sio utatuma hutumi,kama hutumi niambie!
Umeuaaaaaa... Kweli aisee! Yaani hapa hata kama nilitaka kutoa, sitoi.. Yaani sijui wanapata wapi jeuri hii.


"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Hii thread ni kicheko tu... Huyu mleta post kachokoza nyuki kwenye mzinga... Hahahaaah

"Ukifuga njiwa utajua bei ya mtama"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…