Wanaume kwanini hampendi kutoka out na wake zenu?

Wanaume kwanini hampendi kutoka out na wake zenu?

Yani asilimia nyingi ya wanaume hawapendi kutoka out na wake zao.

Sijui kwanini yani utakuta mara nyingi wako wenyewe au na chips funga aka mipango ya kando aka nkurunzinza.

A S angry::A S angry::

Asipokutoa out,mtoe yeye!
 
sio napenda out.....hii fact....nauliza

Hiyo sio fact bali ni 'assumption' tu. Pia ujue wake ambao wako serious na familia zao hasa yenye watoto wanakuwa busy sana na maendeleo ya watoto. Sasa mama zima unataka kwenda Jolly club au Billicanas usiku mzima halafu huyo mtoto wa mwaka au miwili abembelezwe ili alale na nani? Housegirl?

Ukubali usikubali wewe ni mpenda out na huu ni utafiti wako ili uweze kupeleka evidence kwa mmeo ya wewe kutoka out kama data ita-support hiyo 'assumption' yako.
 
Tatizo wengi wa waliooa wameoa wife materio sio out materio ndio maana wanatoka out na michepuko materio

ombi wakati unaoa ukumbuke kuna kutoka out na mkeo hivyo vigezo vizingatiwe
badilika kijana sio kila wife materio awe na sura kama unajiandaa kupiga chafya hata mkivaa suruali wote unaonekana unaongozana na mwanaume mwenzio
mfano mkavaa sketi sasa mwanaume utatongozwa
aibu utaona wewe
Hahaaaaa eti mwanamke sura ka anapiga chafya. Sasa huwa wanaoaje mwanamke wanaye ogopa kutoka naye out.
Bora wawe wanaoa mwanamke presentable sio mwanaume na mwanamke hawana tofauti
 
Good luck then kiddo
Hold your fire Karusii. Makosa ni ya pande zote, sana sana kwetu wachaguaji. As you already know, we on that wife material bs.

Myself, won't put a ring on a mama we ain't got a lot in common with. She gotta be a homie 'fore everything & everybody else. Meaning, i'd rather be around her than anywhere else. If she ain't into politics, scratch politics. If she's into bongo movies, she gotta scratch that. If she ain't into sports, we'll work on that.

Fo'real tho, all i need in this crazy world, is me and the Missus.
 
Wenye Wake Zenu Jibuni Miye na Niliyenae Bado ni Mahawara.... Lakini Kwa Ushauri Wangu Kwenu Kabla Hamjaoana Hembu Kila Mmoja Aridhike na Mwenzake Hii Itawafanya muwe Huru hata Kutoka Nje
 
Wanaume walio wengi wanaamini wife material lazima awe antisocial ili awe makini kulea familia wakati wao wakiparagana na social zao, kosa kubwa ni kuamini familia inalelewa na mama peke yake hata kama baba ni usingizi doro... Ukweli ni kwamba ndoa inapaswa kujengwa na pair inayolandana kwa mambo muhimu kama haya bila upande mmoja kulaghaiwa. Kabla ya kuoa nilizingizatia sana vigezo mhm hasa kutokana na ukweli sikuwahi kufurahia mahusiano ya baba na mama yangu socially. Nawaasa vijana wa kiume kutafakari vyema aina ya mke umtakae na sio mama watoto wako. To me mke ni zaidi ya mzazi na mlezi ndani ya ndoa.
 
outing wakati mwingine muhimu pamoja na familia inakuondolea stress unapokwenda kushangashanga
 
i doubt this utakuata hela anayo mkewe mzuri tu...na ye bingwa wa kutoa offa kwa wanawake wengine lakin sio mke wake.....

Mimi nina mpenzi wangu mzuri sana, world class ila sitoki nae kwasababu nyingi ikiwemo moja ya kwamba atakua kikwazo kwenye mawindo yangu.
 
Nawashauri wadada ambao hatujaolewa tumieni mda huu vizuri. Ya nn kujipa pressure eti nafatana na mme eti tunatoka out? For wat? Atimae nikutane na x- wangu tena ukute huyo x wangu ndo alikuwa jitu la ukweli nianze kumtolea udenda? Staki pressure aende mwenyewe.
 
Hatupendi kwa sababu.
a) Wanawake huchukulia majukumu ya nyumbani very seriously kuliko sisi. Sasa ukitoka naye akiona gharama zinavyotumika lazima mgombane. Kila mkitoka mtakwaruzana. Na haya maisha yanahitaji kutoendekeza stress. Unakuta wakati unamdate hakujali kwa sababu hazikuwa hela zake na zake ziko safe.

b) Kingine we are free spirited. Tutataka kutazama na kutathmini kipitacho. Sasa ukitoka na wife hadi shingo inauma kujizuia na unatumia nguvu kubwa ya akili kujikumbusha hutakiwi kusema chohote au kuangalia badala ya kurelax.

bonus) Ukitembea na mwalimu wa nidhamu hata kama wewe ni msafi lazima ufeel uncomfortable, sasa hiyo outing au mateso tu?

A S angry::A S angry::
 
Hiyo sio fact bali ni 'assumption' tu. Pia ujue wake ambao wako serious na familia zao hasa yenye watoto wanakuwa busy sana na maendeleo ya watoto. Sasa mama zima unataka kwenda Jolly club au Billicanas usiku mzima halafu huyo mtoto wa mwaka au miwili abembelezwe ili alale na nani? Housegirl?

Ukubali usikubali wewe ni mpenda out na huu ni utafiti wako ili uweze kupeleka evidence kwa mmeo ya wewe kutoka out kama data ita-support hiyo 'assumption' yako.

kwahio wewe baba zima huwa unaenda jolly club usiku mzima?? kuna sehemu nyingi za kwenda na mkeo sio huko tu
 
mimi ni miongoni mwa wanaojilaumu kuoa

Tunaogopa kujichoresha. Unatoka naye out unakutana na mchepuko wake uko na washikaji wenzie wewe unaonekana kama NDOROBO tu. Wanakuchenka in front of your wife.. NOOOMA

Wanume wengine hufanya hivi kutokana na kutotaka kuwakera wake zao ambao wengi ni anti-social.Wengi wa wanawake tunaongea sana bila kufikiria yaani unakuta mwanamke ametoka out na mumewe anaongea mpaka anamuaibisha mume bila kujijua.Out nyingi ni za usiku na mishe za mjini nani atahudumia watoto.Wanawake wengi wabishi mume anaogopa kubishiwa hata kitu kidogo mbele za watu.Hatujui nguo gani ya kutokea tunavaa vituko akiambiwa na mume ananuna,hatujui kutenga mda wa furaha na huzuni.Kero hizo ndo zinasababisha waume watoke kivyao vyao.Kama unataka kutoka na mumeo oga vaa vizuri ukifika mlikofika usiongee sana,sikiliza wakichekesha cheka kwa staha usinywe pombe hata kama unakunywa kunywa kidogo na maji mengi.Mheshimu mumeo mbele za watu hata kama amekukwaza home.Sura haihusiki hapa ukiwa mzuri wa moyo na heshima kila mtu atatamani kufuatana na wewe coz anafeel proud kuwa na wewe.

unapoenda porini kuwinda hutakiwi kwenda na huyo mnyama wa kuwinda......utampata hukohuko!!

Tatizo wake wengi ukianzisha kamfumo kanazoeleka na kanakua katabia. wewe mwanaume yoyote alijizoesha kurudi nyumbani sasa 12 jioni asiporudi muda huo nyumbani lazima apige simu au ugomvi. Mwanaume ukizoea kurudi nyumbani saa 7 usiku ukirudi saa nne mke anafanya sherehe. Mara nyingi wanauliza siku hizi utoki na mimi lazima kuna mtu unatoka nae. sasa tunaogopa mazoea ambayo yanakua tabia.

Hiyo sio fact bali ni 'assumption' tu. Pia ujue wake ambao wako serious na familia zao hasa yenye watoto wanakuwa busy sana na maendeleo ya watoto. Sasa mama zima unataka kwenda Jolly club au Billicanas usiku mzima halafu huyo mtoto wa mwaka au miwili abembelezwe ili alale na nani? Housegirl?

Ukubali usikubali wewe ni mpenda out na huu ni utafiti wako ili uweze kupeleka evidence kwa mmeo ya wewe kutoka out kama data ita-support hiyo 'assumption' yako.

Tatizo wanagubu sana!


thread kama hizi ndio huwa zinaonyesha 'drama' za kwenye ndoa....hata kutoka out issue!!!
 
Binafsi napenda kutoka na out na mke wangu kwa sababu yeye ndio maisha yangu. Tatizo linaanzia mkiwa kwenye gari, mwanamke yoyote aliependeza akikatiza ananuna sana, matokeo yake huko mnapo kwenda anakuwa na fukuto la chini na kisilani bila kusahau majibu ya shotcut.. sasa hapo kweli utarudia kwenda nae out? Simi yako ikiita anataka kuwa secretary... Duuh bora awe atulie home.. ila Nina mpango wa kuongea nae nimwambie kwanini huwa simtoi out..
 
Yani asilimia nyingi ya wanaume hawapendi kutoka out na wake zao.

Sijui kwanini yani utakuta mara nyingi wako wenyewe au na chips funga aka mipango ya kando aka nkurunzinza.

A S angry::A S angry::

Sijaelewa unataka kusema nini? Au kutoka out pamoja ndio unataaka kupima nini?
 
Back
Top Bottom