CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
inatokea mwanamke unamua zako wkend kama hivi kukaa zako mahali ,maybe ukae zako alone bila bughudha uenjoy, unywe zako mbili tatu,ucheze mziki/usikilize mziki yaani urefresh kwa kifupi kimpango wako.
Sasa ukikaa zako lazima aje mwanaume akuombe kukaa na wewe akumiliki as if umekuja nae. kwani lazima ukiona mwanamke kakaa mwenyewe umfate? unaaza usumbuuufu why lakini? mbona sisi tukiwakuta mmekaa wenyewe hatuwafati bwana?
wengine anakuomba kabisa naomba hata soda moja ukisema poa linakunywa kweli,hata haogopi kununuliwa na mwanamke! daaah tuacheni tupumue? leo natembea na kiwembe
Mwanamke mwenye heshima zake hawezi kwenda kwenye Mabar peke yake tena usiku. Wewe lazima utakuwa Kichechekama nipo available au sipo available inamuhusu nini mkuu? kila mtu si kaenda kwa starehe zake?
by the way sehemu za kistaarabu ni kama zipi hawaongeleshi mtu maana hapa nazungumzia viwanja vikubwa tu nimeona hii tabia.mtuache tupumue kwanza jamani?
sometimes tunahitaji kuwa peke yetu bwana.mbona nyie hatuwasumbui?
sijakataa,na kama mimi ni mke wa mtu je? au mpenzi wangu kasafiri yupo mbali?HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAA! (Imebidi nicheke kwa Herufi Kubwa)
Yaaani! Wasijaribu kupiga namba za Kino!
Kuna mtu alijipendekeza kwa Bi dada mmoja wembamba wa reli reni inapita Ndoro arusha huko kijoint cha utalii wakati kinabamba bamba!!
Kaenda kaomba kukaa, kanyimwa, kajifanya king'ang'anizi kaambiwa haya kaaa hapo. Kelta kiranga cha kumuita mtu wa jikoni, na mhudumu wa bia!
Basi wakapiga story wee, manake bi dada yupo current kuanzia mpira mpaka mambo ya Lowahasa, si za gari ipi iko comfy, hadi hali yahewa inasemaje anajua! Story haziboi
Waudumu walivokuja Mwenzie anagonga shots double double tu. Jikoni kaagiza jembe la mbuzi, na ubavu uchomwe vizurii na ndizi za za kuchoma 5. Kumbuka hoteli ya kitalii hiyo, afu wanakuwaga na Bei N.yoko kichizi.
Hapana chezea wanaume wa RCHUGGA iko na pesa mingi ya wizi wa magari na magendo holili. Mhudumu mwenyewe kaleta bili kwa mashaka. Kaweka kwenye kikapu.
Jikaka likacheki likarudisha humo! Basi bi dada akajishaua embu niione. Akasikia "Uone ya nini? Did you see me blink by any chance baada ya kuona hiyo bili? Acha kiherehere we kunywa kula bili haikuhusu!" Mmmmmh! Bi dada akabaki anatoa macho.
Bili ikalipwa na keep change juu! Basi bwana wakaendelea kuwasiliana na Harusi tulikula december!
Funzo: Hata mtu akikufata baa anaweza kuwa na lengo zuri na mkaishia pazuri! Na usikomesheee huwezi jua! UZANIAE NDIYE KUMBE SIYE!
(One of the few Positive and inspiring quotes from Lara 1. God has been nice to me today and im nice to you)
.
Mwanamke mwenye heshima zake hawezi kwenda kwenye Mabar peke yake tena usiku. Wewe lazima utakuwa Kicheche
We, smile vipi? Tukiwashiti mnaenda kwa waganga wa kienyeji kuosha nyota eti mwezi umepita bila mwanaume kukupa Hisometimes tunahitaji kuwa peke yetu bwana.mbona nyie hatuwasumbui?
sijakataa,na kama mimi ni mke wa mtu je? au mpenzi wangu kasafiri yupo mbali?
i will broSmile, tutakuogopa. Utamaduni uko hivyo, to break this tradition of time immemorial needs time, education and patience. Nashauri, next time dume likifanya hivyo mwelimishe kama unavyosema. Sidhani kama next time akimkuta mwanamama ametulia kivyake atamfuata.
Kama umepanga kule manzese sawa. Lakini kama wewe ni mwamke wa ki-sure upo kwako kule masaki au mbezi Beach hayo mateke unarusha ya nini? Kama ni sarakasi si subiri ukarushe na jamaa yako kwenye 6x6We vipi acha ulugaluga watu tunaenda baa saa tano usiku kucheki ball na kushabikia! Ball la nyumbani unawez vunja tv ama kingamuzi usipojizuia!
The issue kama mke wa mtu akiona pete atajikataaa. Na kama mchmba ataona ingeji kidoleni atajikaaa! Ila kama huna any of the above ni SURVIVAL OF THE FITTEST TU!
mbona watu kibao wamevaa mipete na hawana ndoa wala nini? wengine ni single tu wameachika nk.The issue kama mke wa mtu akiona pete atajikataaa. Na kama mchmba ataona ingeji kidoleni atajikaaa! Ila kama huna any of the above ni SURVIVAL OF THE FITTEST TU!