Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,563
Labda anaona hajajua vizuri ataliganga.Jamaa yangu mmoja ana mgogoro na mke Wake takribani Week tatu, walichangia yeye na wife wakanunua gari la familia harrier moja bomba sana.
Sasa tatizo limekuja wife anataka ajue kuendesha ili naye awe analitumia katika root tofauti jamaa yangu hataki kusikia hicho kitu hata ufunguo wa gari kaamua kuuficha gari linatoka kwa matakwa yake.
Kwani kuna tatizo gani mkeo akijua kuendesha gari?
Mmh uyo baba atakuwa mkoloniJamaa yangu mmoja ana mgogoro na mke Wake takribani Week tatu, walichangia yeye na wife wakanunua gari la familia harrier moja bomba sana.
Sasa tatizo limekuja wife anataka ajue kuendesha ili naye awe analitumia katika root tofauti jamaa yangu hataki kusikia hicho kitu hata ufunguo wa gari kaamua kuuficha gari linatoka kwa matakwa yake.
Kwani kuna tatizo gani mkeo akijua kuendesha gari?
Wakoloni wengi waliruhusu wake zao kujua kuendesha. Sema wabongo wa enzi hizo ndio walikuwa hawataki hata kusikia.Mmh uyo baba atakuwa mkoloni
Sasa ata sijui tumeweke kweny kundi gani uyo baba jamaniWakoloni wengi waliruhusu wake zao kujua kundesha. Sema wabongo wa enzi hizo ndio walikuwa hawataki hata kusikia.
Wakoloni wengi waliruhusu wake zao kujua kundesha. Sema wabongo wa enzi hizo ndio walikuwa hawataki hata kusikia.
Jamaa yangu mmoja ana mgogoro na mke Wake takribani Week tatu, walichangia yeye na wife wakanunua gari la familia harrier moja bomba sana.
Sasa tatizo limekuja wife anataka ajue kuendesha ili naye awe analitumia katika root tofauti jamaa yangu hataki kusikia hicho kitu hata ufunguo wa gari kaamua kuuficha gari linatoka kwa matakwa yake.
Kwani kuna tatizo gani mkeo akijua kuendesha gari?
Haswa.basi atakuwa kama wabongo wa zamani eeh
Dada mapepe anapenda Show off ila binafsi sioni sababuInawezekana jamaa anamlinda mkewe. Pengine missus mlevi kupindukia, mzururaji, ana matatizo ya macho, au udhaifu wowote tu ambao unaweza kuwa hatari kwake na kwa wengine akiwa kwenye usukani. Ni vyema tungesikia sababu zake kwanza.
Dada mapepe anapenda Show off ila binafsi sioni sababu