Wanaume: Kwani kuna ubaya gani mkeo akijua kuendesha gari?

Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,635
2,000
Jamaa yangu mmoja ana mgogoro na mke Wake takribani Week tatu, walichangia yeye na wife wakanunua gari la familia harrier moja bomba sana.

Sasa tatizo limekuja wife anataka ajue kuendesha ili naye awe analitumia katika root tofauti jamaa yangu hataki kusikia hicho kitu hata ufunguo wa gari kaamua kuuficha gari linatoka kwa matakwa yake.

Kwani kuna tatizo gani mkeo akijua kuendesha gari?
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,153
2,000
HAKUNA UBAYA TENA NI JAMBO ZURI.KUNA SIKU MUME UTAUMWA AU KUSAFIRI.MKE ATAENDESHA.ILA AKINITAFUTA NIMUENDESHE NA WEWE UMESAFIRI LITAKUWA TATIZO LAKO LA KUJITAKIA.
 
Komagunda

JF-Expert Member
Mar 24, 2017
780
500
Jamaa yangu mmoja ana mgogoro na mke Wake takribani Week tatu, walichangia yeye na wife wakanunua gari la familia harrier moja bomba sana.

Sasa tatizo limekuja wife anataka ajue kuendesha ili naye awe analitumia katika root tofauti jamaa yangu hataki kusikia hicho kitu hata ufunguo wa gari kaamua kuuficha gari linatoka kwa matakwa yake.

Kwani kuna tatizo gani mkeo akijua kuendesha gari?
Labda anaona hajajua vizuri ataliganga.
 
odoemma1

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
291
250
Jamaa yangu mmoja ana mgogoro na mke Wake takribani Week tatu, walichangia yeye na wife wakanunua gari la familia harrier moja bomba sana.

Sasa tatizo limekuja wife anataka ajue kuendesha ili naye awe analitumia katika root tofauti jamaa yangu hataki kusikia hicho kitu hata ufunguo wa gari kaamua kuuficha gari linatoka kwa matakwa yake.

Kwani kuna tatizo gani mkeo akijua kuendesha gari?
Mmh uyo baba atakuwa mkoloni
 
Roger Sterling

JF-Expert Member
May 10, 2015
12,320
2,000
Inawezekana jamaa anamlinda mkewe. Pengine missus mlevi kupindukia, mzururaji, ana matatizo ya macho, au udhaifu wowote tu ambao unaweza kuwa hatari kwake na kwa wengine akiwa kwenye usukani. Ni vyema tungesikia sababu zake kwanza.
 
earl

Senior Member
Aug 30, 2012
129
250
Huyo jamaa ana matatizo yake mwenyewe. Bado anafikra kwamba gari ni chombo cha starehe wakati siku hizi gari ni chombo cha lazima (necessity) kama unamudu gharama ya kununua gari.

Afikirie siku ameumwa ghafla usiku na mke hafahamu kuendesha gari nani atamwahisha hospitali?
 
Ndukidi

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
1,499
2,000
Jamaa yangu mmoja ana mgogoro na mke Wake takribani Week tatu, walichangia yeye na wife wakanunua gari la familia harrier moja bomba sana.

Sasa tatizo limekuja wife anataka ajue kuendesha ili naye awe analitumia katika root tofauti jamaa yangu hataki kusikia hicho kitu hata ufunguo wa gari kaamua kuuficha gari linatoka kwa matakwa yake.

Kwani kuna tatizo gani mkeo akijua kuendesha gari?

Nadhani jamaa yako ni mbinafsi pia ushamba wa gari unamsumbua, akizoea yeye mwenyewe atampeleka shule, najua kumfundisha hataweza kama wanaume wengi watakavyo kubali kuwa ni shida.
 
Tajirimsomi

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
4,635
2,000
Inawezekana jamaa anamlinda mkewe. Pengine missus mlevi kupindukia, mzururaji, ana matatizo ya macho, au udhaifu wowote tu ambao unaweza kuwa hatari kwake na kwa wengine akiwa kwenye usukani. Ni vyema tungesikia sababu zake kwanza.
Dada mapepe anapenda Show off ila binafsi sioni sababu
 
falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,077
2,000
Nitamfundisha hadi kufungua tairi, maana ikitokea tuko safarin gari imepata pancha mi nalala tyuuuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom