Wanaume kwa kupenda Chaboo

Sio huko tu hata kwetu wenye miguu mizuri wapo.

Haya nishakuelewa.lakini umeona vitu hivyo Katavi mbona hutii neno?najua tu leo MbuziMzee analo.utamsumbua weeeeeee mpaka kieleweke.hapo najua unasubiri discusion ziishe.zikiisha tu mhhhhh sijui kama watu hamjakesha mnasafiri.
 
Last edited by a moderator:
Sio wote. Mfano waingredha hawako kivileee. Nadhani waholanzi wanaongoza si tu miguu bali hata uzuri kwa ujumla...maumbile bomba, rangi sio ile weupe wa papai. Yaani kama mixa flani ya kibantu na kidhungu hivi. Bomba mbaya.

Very true...watu wa NORDIC rangi zao mpaka unahisi wana maradhi fulani
 
Haya nishakuelewa.lakini umeona vitu hivyo Katavi mbona hutii neno?najua tu leo MbuziMzee analo.utamsumbua weeeeeee mpaka kieleweke.hapo najua unasubiri discusion ziishe.zikiisha tu mhhhhh sijui kama watu hamjakesha mnasafiri.
Hahahaah! Leo sina la kuongea.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom