figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Wote tunajua kuwa mwanamke ni ubavu wetu na mfariji pia.haifurahishi kumfokea nakumdhalilisha mkubwa mwenzio mbele za watu.anapokosea aelekezwe kwa upole na unyenyekevu.
Wanaume dhibiti hasira zenu,kueni na hekima ili kuokoa ndoa zisivunjike.wanaume jiheshimuni ili kupunguza watoto wa mitaani wanaoteseka.
wanaume waheshimuni wapenzi wenu hata kama hujamuoa.usimdanganye mwenzio.
kwa leo ni hayo tu.nawatakieni familia njema zenye furaha.mia

hahaha wambie hao wenye tabia chafu km hii,wananikera sana hasa waongo,wanaongopea mtu na kumpotezea mda bila ya huruma.wote tunajua kuwa mwanamke ni ubavu wetu na mfariji pia.haifurahishi kumfokea nakumdhalilisha mkubwa mwenzio mbele za watu.anapokosea aelekezwe kwa upole na unyenyekevu.
Wanaume dhibiti hasira zenu,kueni na hekima ili kuokoa ndoa zisivunjike.wanaume jiheshimuni ili kupunguza watoto wa mitaani wanaoteseka.
Wanaume waheshimuni wapenzi wenu hata kama hujamuoa.usimdanganye mwenzio.
Kwa leo ni hayo tu.nawatakieni familia njema zenye furaha.mia
mimi siishi na mwanamke lakini napenda kuona pindi wakati utakapofika naishi kwa furaha na familia yangu kwa kutatua matatizo kwa maongezi mazuri bila kufokeana.miaubarikiwe kwa kulitambua hilo,i hope unayaishi hayo unayotushauri ! ngoja nitafute kile kitufe cha thanks kwanza
Sio roho ya huruma tu, bali pia tuwe na upendo na sio kwa wanaume tu bali pia wanawake nao wanahusika na mada hiii...........
nia yangu si kumpata mtu bali kukufanyeni wanaume kutimiza majukumu yenu kwa upendo na amani.mtu mumetafuta wote,mkishapata unataka asiongelee kile mlichopata.be smart bana..miaHahaha! swahiba naona umekuja kisomi zaidi,hivi utawapata sana.mia
usijishauli kutenda mema.lengo langu ni kukufanya wewe udumu katika ndoa na upendo wa milele.tunakumbushana mkuu.miaJe mhusika unayatekeleza hayo au umetuandikia tuu hapa kutupa ushauri wakati mhusika huyafanyi
asante mkuu.miaSawa mkubwa,umesikika.
ndiyo mkuu,mimi nina huruma na upendo pia.spendi kuona wakina mama wakinyanyasika.miaJe wewe un huruma?
Mungu akusaidie utimize huo utekelezaji.asante mkuu.miatumeisoma mkuu ni utekelezaji hakuna ubishi