wanaume kuweni na roho ya huruma

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,853
Wote tunajua kuwa mwanamke ni ubavu wetu na mfariji pia.haifurahishi kumfokea nakumdhalilisha mkubwa mwenzio mbele za watu.anapokosea aelekezwe kwa upole na unyenyekevu.
Wanaume dhibiti hasira zenu,kueni na hekima ili kuokoa ndoa zisivunjike.wanaume jiheshimuni ili kupunguza watoto wa mitaani wanaoteseka.
wanaume waheshimuni wapenzi wenu hata kama hujamuoa.usimdanganye mwenzio.
kwa leo ni hayo tu.nawatakieni familia njema zenye furaha.mia

ubarikiwe kwa kulitambua hilo,i hope unayaishi hayo unayotushauri ! ngoja nitafute kile kitufe cha thanks kwanza

Je mhusika unayatekeleza hayo au umetuandikia tuu hapa kutupa ushauri wakati mhusika huyafanyi

100.

Natamani watu wote wangekuwa wanayatenda wanayoyaongea.
Ahsnte figa ushauri mzuri

wote tunajua kuwa mwanamke ni ubavu wetu na mfariji pia.haifurahishi kumfokea nakumdhalilisha mkubwa mwenzio mbele za watu.anapokosea aelekezwe kwa upole na unyenyekevu.
Wanaume dhibiti hasira zenu,kueni na hekima ili kuokoa ndoa zisivunjike.wanaume jiheshimuni ili kupunguza watoto wa mitaani wanaoteseka.
Wanaume waheshimuni wapenzi wenu hata kama hujamuoa.usimdanganye mwenzio.
Kwa leo ni hayo tu.nawatakieni familia njema zenye furaha.mia
hahaha wambie hao wenye tabia chafu km hii,wananikera sana hasa waongo,wanaongopea mtu na kumpotezea mda bila ya huruma.

asante step-son,im so proud of u! mi huwa namshangaa mwanaume ambaye anampiga mwanamke, tena mpenzi wake. hapo anategemea eti ataomba msamaha na apewe mapenzi? well,sio namshangaa,namdharau!kuna mtu akiona watu ndo kwanza anamdharau mkewe,utadhani atapewa sifa!

ubarikiwe kwa kulitambua hilo,i hope unayaishi hayo unayotushauri ! ngoja nitafute kile kitufe cha thanks kwanza
mimi siishi na mwanamke lakini napenda kuona pindi wakati utakapofika naishi kwa furaha na familia yangu kwa kutatua matatizo kwa maongezi mazuri bila kufokeana.mia

Sio roho ya huruma tu, bali pia tuwe na upendo na sio kwa wanaume tu bali pia wanawake nao wanahusika na mada hiii...........

kweli mkuu sote tukihurumiana tutaishi kwa starehe na amani maana kuna wanawake wengine afadhali ya hao wanaume 101%

Hahaha! swahiba naona umekuja kisomi zaidi,hivi utawapata sana.mia
nia yangu si kumpata mtu bali kukufanyeni wanaume kutimiza majukumu yenu kwa upendo na amani.mtu mumetafuta wote,mkishapata unataka asiongelee kile mlichopata.be smart bana..mia

Je mhusika unayatekeleza hayo au umetuandikia tuu hapa kutupa ushauri wakati mhusika huyafanyi
usijishauli kutenda mema.lengo langu ni kukufanya wewe udumu katika ndoa na upendo wa milele.tunakumbushana mkuu.mia

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom