wanaume kuweni makini na michepuko

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
348,983
Reaction score
1,252,309
Unajikuta umetelekeza familia hata kujenga choo cha makuti unashindwa kisa kuhonga michepuko jamani.
 
Ukioa mwanamke anakuwa kama chama tawala kwa hiyo inatakiwa umtafutie mchepuko kama chama cha upinzani chama tawala akizingua unaenda mchepuko chama pinzani
 
Yakikupata huko upinzani lazima ujute
Ukioa mwanamke anakuwa kama chama tawala kwa hiyo inatakiwa umtafutie mchepuko kama chama cha upinzani chama tawala akizingua unaenda mchepuko chama pinzani
 
Heri cocaine na bangi kuliko limbwatazz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…