Mara nyingine hao wanaume wanapigwa kibuti...hivyo wanajikuta wametafuta wenza wapya.
Una wasiwasi wa kuachwa ama?miaka 3
Ivi ni kweli kwamba wanaume wengi hawawaoi wapenzi wao wa mda mrefu?na matokeo yake kuwaacha na kuoa msicha mwingine.?na sababu huwa ni nini?