Kwa kawaida mwizi akiibiwa huwa ni mlalamishi sana...Habari zenu wana mmu,
Napenda kushare nanyi juu ya hii tabia ya hawa wanaume kupenda wanawake wenye pesa (uwezo) kila siku tumezoea kuona/kusikia malalamiko wanaume wakilalamika juu ya wanawake kupenda sana pesa, sasa kinachonishangaza ni kwamba kibao siku hizi kimegeuka, utakuta mwanaume mnafahamiana vizuri na mnaendelea kuwasiliana vizuri, baada ya muda utakuta anaanza kukutumia sms za kukuelezea shida zake zinazohusiana na pesa, au kukutaka umtumie japo vocha, wengine wakidai watarudisha, wengine wanaomba msaada. Kinachoniboa Zaidi ni kwamba mimi huwa sina tabia ya kuomba pesa hata kwa mpenzi wangu, kwa nini hawa wanaume wanakuwa wepesi kuomba kiasi hiki? au ndo nyakati zimebadilika? mjirekebishe!!!!!!!
50 kwa 50 cku hizi.haki sawaMbona mnajibu kwa kukwepa? Nyie mkiombwa pesa mnalalamika oh! Wanawake wanapenda pesa, oh! Wanawake hivi na vile, sasa na nyie mmeingia huko huko! Kwa hiyo mmeona mnapunjwa mmeamua nanyi muwe tegemezi!!
Hii ingekuwa inahusu ke, sio ajabu mpaka sasa kungekuwa na post zaidi ya 200. Wanapita kando kabisa.Mbona mnajibu kwa kukwepa? Nyie mkiombwa pesa mnalalamika oh! Wanawake wanapenda pesa, oh! Wanawake hivi na vile, sasa na nyie mmeingia huko huko! Kwa hiyo mmeona mnapunjwa mmeamua nanyi muwe tegemezi!!
wamezidiwa tu shida hakuna kingine, kuliko wafe bora wakufaceHabari zenu wana mmu,
Napenda kushare nanyi juu ya hii tabia ya hawa wanaume kupenda wanawake wenye pesa (uwezo) kila siku tumezoea kuona/kusikia malalamiko wanaume wakilalamika juu ya wanawake kupenda sana pesa, sasa kinachonishangaza ni kwamba kibao siku hizi kimegeuka, utakuta mwanaume mnafahamiana vizuri na mnaendelea kuwasiliana vizuri, baada ya muda utakuta anaanza kukutumia sms za kukuelezea shida zake zinazohusiana na pesa, au kukutaka umtumie japo vocha, wengine wakidai watarudisha, wengine wanaomba msaada. Kinachoniboa Zaidi ni kwamba mimi huwa sina tabia ya kuomba pesa hata kwa mpenzi wangu, kwa nini hawa wanaume wanakuwa wepesi kuomba kiasi hiki? au ndo nyakati zimebadilika? mjirekebishe!!!!!!!
Piga nnPiga mashine maisha mafupi haya