Na mie ndo wa huko huko.Haya tusikie hiyo misuko yenye heshima na isiyo na heshima basi.......!Hapana mie sijasema kama wewe usuki nywele za heshima....kwanza sijajua kama huwa unaenda salon au lah.....na kama unaenda basi sijui unaenda salon gani. Ila naamini kitu kizuri ambacho utapata pale mwenge ni kusuka tu' lakini siyo style zote....wanasuka baadhi ya style
Kwanza huwezi bandika kope kila wakati.....yakupasa ukae na kope for 3 weeks kisha uje tena salon ili tukutoe na dawa yake.Mshkachuma nasikia wale wanaobandika kope kila dakika huwa wana blink.
Mmh dada Lizzy wewe! ndiyo maana nikasema kitu ambacho utaweza kupata mwenge baadhi ya misuko tu.....na kwa kawida hata ukisuka Salsa za yebo yebo ni lazima upendeze na ni msuko wa heshima tu....kwa hili hata mwenge wanaweza sema yale mazingira ya kusukana nje ndiyo tatizoNa mie ndo wa huko huko.Haya tusikie hiyo misuko yenye heshima na isiyo na heshima basi.......!
Kaaazi kweli kweli!Mbona wengine hiyo nje ndo tunaifurahia ?!Mmh dada Lizzy wewe! ndiyo maana nikasema kitu ambacho utaweza kupata mwenge baadhi ya misuko tu.....na kwa kawida hata ukisuka Salsa za yebo yebo ni lazima upendeze na ni msuko wa heshima tu....kwa hili hata mwenge wanaweza sema yale mazingira ya kusukana nje ndiyo tatizo
Sasa ujue kunawaheshimiwa VIP ndani ya Tanzania (nazungumzia wakina mama) hawawezi kuja pale mwenge na kufanyiwa hizo huduma pale nje....sasa sisi tunadili na watu kama hao....wanatufata kwa hajili ya huduma bora, mazingira bora,na parking boraKaaazi kweli kweli!Mbona wengine hiyo nje ndo tunaifurahia ?!
Lizzy ukienda salon za kiprofeshino' unawekwa weaving vizuri sana,kucha vizuri sana na hata hizo kope vizuri sana na hautojua kama huyu mtu amebandika kope! na hivyo vyote unakaanavyo kwa mda mrefu sana.....na unakuwa free kufanya kazi zote na havitoki wala kuvimba.....sema baadhi ya salon za uswazi ndizo zinatuharibia
Aiseee...acha sie tusio bora tungangane na huduma zisizo bora bila kusahau misuko isiyo na heshima!ASANTENI na KWAHERINI!Sasa ujue kunawaheshimiwa VIP ndani ya Tanzania (nazungumzia wakina mama) hawawezi kuja pale mwenge na kufanyiwa hizo huduma pale nje....sasa sisi tunadili na watu kama hao....wanatufata kwa hajili ya huduma bora, mazingira bora,na parking bora
Hahahhaha...Ballerina mimi na wewe ni Mwenge tu tena tukiwa tunajiandaa kwenda kula krisimasi nndei...Kumbe Lizzy huna kope eeh???...............yaani macho haya haya tunayokesha nayo kwenye mionzi ya kompyuta......haya haya yananyopambana na jua kali la mchana.....................haya haya yanayopambana na vumbi.........haya haya tukayabandike nyusi "kwa kutumi dawa/gundi maalum".....ukija kutoa.........wanatumia tena "dawa" maalum.........tujihurumie jamani.Mshikachuma mi hujanipata........................na huyo Lizzy nikijua kaja huko...................tutaweka kikao cha ukoo!
Sasa ujue kunawaheshimiwa VIP ndani ya Tanzania (nazungumzia wakina mama) hawawezi kuja pale mwenge na kufanyiwa hizo huduma pale nje....sasa sisi tunadili na watu kama hao....wanatufata kwa hajili ya huduma bora, mazingira bora,na parking bora
Hahahhaha...Ballerina mimi na wewe ni Mwenge tu tena tukiwa tunajiandaa kwenda kula krisimasi nndei...
nlikuwa nimelala nimestuka naona na mada yangu imeshabadilishwa imekuwa mambo ya huduma kwenye hizo salun za kike haya endeleeni ila msirudie tena kuchakachua mada za muanzisha uzi,by the way kuna vitu najifunza huku "bikin line"asanteni wote mliojitokeza kuchangia sikutegemea tungefika huku zimeporomoshwa idea nzuri tu, ushauri wangu akina dada acheni kujiwekaweka hayo mawigi ,sijui kukata kope, mwanamke anayenyoa au mwenye dread fupi sio kama za bob, huwa ananivutia sana be original why are u copy copyMshika chuma wewe unafanya hii kazi? Naona unaijua sana halaf unaitetea ile mbaya. Safety last sijui yuko wapi.
And who is doing that? Hata kama ni mwanamke mwenzangu siko tayari kumvulia chupi aisee. Hayo mambo mengine hacha yatupite tu.
tafuta mwenye kipara mapema.acha wanaopaka rangi kucha.. mimi nikifanikiwa kuoa mke wangu hatokwenda hata kwa masai kusuka .. labda masai wa kike
Mi labda uniambie wapi wanakouza ile WAX, nina kazi nayo!Au unielekeze wanavyotengeneza ya asili................nitakushukuru zaidi.
Wax ya asili: chemsha sukari kg moja then itatokea kama asali hvi then wapaka kwenye ngozi kwa kutumia spatula/kisu au something bapa, ikiwa ya moto unapuliza hih hiii hiiii.... afta that wachukua waxing stripe kama huna nenda supmartkt au kitambaa na kubandika juu yake kama unagundishia vile then wavuta kama unabandua sticker mahali,,,kwishney habari ya nywele-u do this twice/thrice until all the hair is gone..huko salon kuna heater za kuchemchia sukari...kwanza umeuliza yatengenezwaje me nimejibu na ucvyotaka sory,,,,
Halafu mara nyingi hii kazi hufanywa na wakongoman, sijui wanawapa nini dada zetu duh!Wanawake mnao weka miguu pande mbele ya hawa madume mnatekenywa mpaka mnasinzia hii imekaaje kuna mmoja hapa mwenge yaani mabinti wapo wamejaa kwake ndo najiuliza kuna kitu zaidi ya rangi kwenye miguu wanapata hawa wenzetu?
Gagu wengi ni watz tu wanaojitafutia vipatoHalafu mara nyingi hii kazi hufanywa na wakongoman, sijui wanawapa nini dada zetu duh!
yaaaani ni ushamba sanaaaaaaaaaaa.si wamempa kucha za miguu mkuu?