Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
ni za miguu ila kuna namna anavyoishika miguu ya hawa warembo hapa kwa namna ya tofauti na wenzake coz wamejiachia sana sketi ziko juu ya mapaja mm nashindwa kuendelea kuangalia coz SOSPA inaweza fanya kazi yakesi wamempa kucha za miguu mkuu?
ni za miguu ila kuna namna anavyoishika miguu ya hawa warembo hapa kwa namna ya tofauti na wenzake coz wamejiachia sana sketi ziko juu ya mapaja mm nashindwa kuendelea kuangalia coz SOSPA Act inaweza fanya kazi yake
hahaha kama una moyo wa plastiki tazama tu. Na kwa hlo sidhani kama unaweza ruhusu mwenzi wako kupata ukarabati wa miguu na kucha, unaweza rusha ngumi. Ila kuna kazi nyingine zinataka moyo!ni za miguu ila kuna namna anavyoishika miguu ya hawa warembo hapa kwa namna ya tofauti na wenzake coz wamejiachia sana sketi ziko juu ya mapaja mm nashindwa kuendelea kuangalia coz SOSPA Act inaweza fanya kazi yake
Ndo ujifunze hizo kazi sasa ili uwe unafanya wewe..acha wanaopaka rangi kucha.. mimi nikifanikiwa kuoa mke wangu hatokwenda hata kwa masai kusuka .. labda masai wa kike
shida ipo bana hivi hamna wanawake wanajua kupaka rangi mabinti mpaka midume imakalia kigodaMmhh shida iko wapi sasa ....
Mmmhhh Mi napenda akiwa ananipaka bwana.. raha kweli kweli..shida ipo bana hivi hamna wanawake wanajua kupaka rangi mabinti mpaka midume imakalia kigoda
Kwani nyie mnajifanya NDIO WANAUME HASWA tatizo lenu nini haswa?!Kama wanaofanya hiyo kazi na wanaofanyiwa hawalalamika iweje nyie mnaumia sana?!shida ipo bana hivi hamna wanawake wanajua kupaka rangi mabinti mpaka midume imakalia kigoda
kupaka rangi kucha wanawake sio kazi ya kiume kabisa mapori yamejaa hii nchi halafu tunashika vidole na mapaja ya akinamama hii ni laana unajua??, waje huku tulime bana waache ujinga kabisaKwani nyie mnajifanya NDIO WANAUME HASWA tatizo lenu nini haswa?!Kama wanaofanya hiyo kazi na wanaofanyiwa hawalalamika iweje nyie mnaumia sana?!
hii ni laana kwa wanaume wa tzhivi wewe unafikiri mwanaume wa kweli kweli atafanya kazi ya kupaka kucha wadada???????hao kazi yao ni kujiongezea hamu tu,kula wanakula wengine....