Ndugu yangu fanya mambo yako ambayo wewe unaona Ni priority kwako. Kuna baadhi ya kina dada kuolewa sio priority kabisa Na huenda wewe Ni mmoja wapo. Fanya issue zako ambazo ww unaona ndio the best kwako. Ukweli Ni kwamba mwanaume yoyote ambaye yupo committed Ni Mara chache Sana Sana kuowa mwanamke ambaye tayari amesha jiestablish.Habari zenu sana jf
Kuna jambo linanitatiza hapa na sijajua if lina ukweli ndani yake au la. Siku ya X-mas nilikua na rafiki yangu mmoja tukawa tunapiga story, akaniambia kuwa ukiwa msichana, unafanya kazi, unajiweza, una gari inabidi uolewe.
Mimi nikamjibu kwamba ndoa sio jambo la kukurupuka, mpaka sasa sijaona atayenifaa na ambaye nitaendana nae. Sasa nilipomwambia kuolewa is not my priority nina plans zangu za maendeleo zaidi like kujenga nyumba etc alihamaki akaniambia,"Shosti wanaume watakuogopa na hutaolewa kamwe".
Hii statement imenishangaza. Kwahiyo eti nisifanye maendeleo yoyote eti sababu wanaume wataniogopa? Mbona wanawake tumekua watumwa wa ndoa hivi? Kwanini nisifanye kitu roho inapenda kwa kuhofia hiyo kitu?
Swali langu ni je ni kweli wanaume huogopa wanawake waliowazidi kipato? Kama ni kweli ni kwanini? Kwani mwanaume akinioa anashindwa kuja kuishi kwenye nyumba yangu?
Basi baby,unisamehe mamii.lakini unaweza ukachagua topic yoyote uipendayo whatever what mimi nitaikubali na kuchangia mrembo,anyway unisamehe kama nimekosea baby.Sina time na topic unayotaka.
Ok chagua topic uipendayo basi baby.Sina time na topic unayotaka.
Daah sijui nikufanyaje we mrembo?,yaani wewe una roho nzuri,ila tu shetani anakusumbua baby.Sina time na topic unayotaka.
Yaani we Clue una mitego?,mtu akiingia hatoki,daah sijui ni uchawi?Sina time na topic unayotaka.
Basi acha nijinyonge labda utafurahi au vipi?Sina time na topic unayotaka.
Njoo basi,usikwazike baby au vipi?Sina time na topic unayotaka.
Kwanini etiUkimzidi mwanaume kipato utakuwa hautoi papuchi vizuri, ukiniuliza kwa sababu gani nitakwambia, ngoja kwanza nimrudushie Mteja chenji.
Sasa huo ndio uoga wenyew, hujiamini kwannDawa unamuweka MKE wa pili tu
Ndio hivoMnadharau sana ndio utasikia mwanaume suruali
Maisha mabaya sana hayo..mwanaume inabidi ukomae tu utoke!!Yaan hamna kitu kibaya kma kuishi & kuendesha gar la mwanamke.