kidambinya
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 1,190
- 1,728
Kweli mkuu....ila humu usiwe serious sanaami napenda ajue kwamba hakuna mtu mwenye uwezo asiekua na mtu mwingine aliekua na uwezo juu yake so huyo mwanamke hata awe na uwezo kiasi gani kutakua na mwanaume mwenye uwezo zaidi yake na huyo ndio atakae muoa
%95 umezimaliza nasisi umetuachia asilimia 5, nimependa hapo miili inazeeka ila maendeleo hayazeeki, kila mtu anaweza kupata maendeleo haijarishi yupo kwenye ndoa au la! Afanye kitu roho inapenda, nimependa mchango wakoNi kwa sababu ya baadhi ya wanawake
wenye kipato kuwa na nyodo na kuwadharau
waume zao,basi hakuna jingine.
Ni hili swala la kusema wanaume wanawaogopa
ni lugha ya mitaani,mwanaume wa ukweli hapendi vitu
vya dezo.Si kawaida mwanaume kutunzwa na mwanamke.
ndo maana mwanaume anaoa mtu ambaye wanaendana kimapato
ili wainuane kwa pamojana si kumtegemea mke wake.
Sasa je ni kwa nini wadada wenye uwezo
huchelewa kuolewa?
binafsi naweza kusema,hii inatokana na ukweli
kwambo vijana wengi wanaotaka kuoa huwa hawajawana uwezo
mkubwa wa kumiliki mali na hivyo kwa kuepuka nyodo kwenye ndoa zao
huwatafuta wanaolingana nao kimapato.Ni hili ndo kundi kubwa la waoaji.
Back to the point,kwa kuwa wewe unaamini katika
maendeleo kabla ya kuolewa,fanya upendavyo.
la kuzingatia ni kuwa,miili inazeeka,ila maendeleo hayazeeki.
anaweza kuyapata mtu yoyote,muda wowote awe ndani ya ndoa au nje.
endapo ataweka bidii kuyatafuta. Kupanga ni kuchagua.
Kwani bread winner anapaswa kuwa nani kutokana na maandiko?Ni tamaduni tu za kiafrika zinamuona kuwa mwanaume ndiye "bread winner". kwa mfano Mwanaume akiishi kwenye nyumba aliyojenga mwanamke anaonekana "ameolewa na huyo mwanamke"-jambo ambalo linaonekana kuwa ni aibu kwa mwanaume huyo. Pia baadhi ya wanawake wenye uwezo mkubwa kiuchumi, kielimu, kimafanikio, kuliko waume zao wanaweza kuwa na tabia ya kuwadharau hao waume zao -na kuwaita "wanaume suruali".
All in all, kinachotakiwa ni watu wawe wacha Mungu!. Wanaomcha Mungu hawawezi kuwa na tabia za ajabu.
.....umekulakula chumvi kumbe.....white will remain white n black .....black.....mwanaume anaejitambua hatataka siku moja mkikorofishana umletee mdomo kuwa hichi ni changu or unaishi kwenye nyumba yangu n blah blah blah.....mwanaume ameandikiwa kuwa kiongozi kama hatapata huo uongozi kwenye ndoa atautafuta kwa mchepuko!!!Niko kwenye late 20's
...hapo juzi kuna uzi ulimuundia bwanako na ukamnyamba hadi mi mwenyewe nikakuuliza wanaume wa mtindo huo mnatoaga wapi?.. we mwenyewe ni shahidi wa hilo, jinsi ulivyokuwa ukimsema bwanako sijui tegemezi, mara ulimpa laki moja, mara alitoka dar hadi moro na nauli ya kurudia ulimpa.. afu ukaja lalamika hapa, leo hii unapingana na vile ambavyo uliviwasilisha, sasa kama unaona ni sawa kumlisha mwanaume.., kwanini ulimnyea vibaya yule bwanako? na kwanini usiendelee naye huyo ukampa kila anachotaka kama ni vizuri?... hakuna MWANAUME fala anaekubali kulelewa na mwanamke milele na milele.Nani alisema hiyo??
.....umekulakula chumvi kumbe.....white will remain white n black .....black.....mwanaume anaejitambua hatataka siku moja mkikorofishana umletee mdomo kuwa hichi ni changu or unaishi kwenye nyumba yangu n blah blah blah.....mwanaume ameandikiwa kuwa kiongozi kama hatapata huo uongozi kwenye ndoa atautafuta kwa mchepuko!!!
Wanaume hawapendi wake wenye maendeleo coz mnakuwa Wanaume wawili kwenye ndoa
Hakunaga dharau mnajistukia tu, hamjiamini...mmekuzwa na mfumo dime kuwa Juu, shida inaanzia hapohatuogopi wanawake wenye kipato.. tunachoogopa ni kudharauliwa .asimia kubwa ya wanawake wanapokuwa na kipato hukosa heshima kwa wenza wao..sasa hakuna mwanaume mwenye akili timamu anapenda kudharauliwa..kumbuka kuwa we are super before God.
Big up to youMbona mimi nimeoa mwanamke niliyemkuta na kila kitu.
Ha ha haa...Mleta mada hujanizidi kipato sema tu sijakupenda.
Wordmi napenda ajue kwamba hakuna mtu mwenye uwezo asiekua na mtu mwingine aliekua na uwezo juu yake so huyo mwanamke hata awe na uwezo kiasi gani kutakua na mwanaume mwenye uwezo zaidi yake na huyo ndio atakae muoa
Umenena vyema mkuuMalingumu ila nitaipata tu..
Mwanamke aliye na pesa pasipo ;
1.hekima,
2.heshima,
3.ukarimu
4.Utii
5.busara
6.Uaminifu .
Hafai kuwa mke.
Kama pesa inakufanya ufanye maamuzi kinyume na 1-6 basi wewe unatawaliwa na Pesa na bila shaka utakuwa limbukeni wa pesa maana hujaizoea pesa..wewe hata ukiolewa ndoa yako haitadumu.
Viceversa is true.
NB: Kiburi cha pesa ni sumu.
Duh.....umekulakula chumvi kumbe.....white will remain white n black .....black.....mwanaume anaejitambua hatataka siku moja mkikorofishana umletee mdomo kuwa hichi ni changu or unaishi kwenye nyumba yangu n blah blah blah.....mwanaume ameandikiwa kuwa kiongozi kama hatapata huo uongozi kwenye ndoa atautafuta kwa mchepuko!!!
Wanaume hawapendi wake wenye maendeleo coz mnakuwa Wanaume wawili kwenye nyumba
Nahisi ananiogopa japo ni mpenda kitonga, anashindwa kufanya maamuzi ya kuoa coz nimemzidi ila kitonga anakipenda...hapo juzi kuna uzi ulimuundia bwanako na ukamnyamba hadi mi mwenyewe nikakuuliza wanaume wa mtindo huo mnatoaga wapi?.. we mwenyewe ni shahidi wa hilo, jinsi ulivyokuwa ukimsema bwanako sijui tegemezi, mara ulimpa laki moja, mara alitoka dar hadi moro na nauli ya kurudia ulimpa.. afu ukaja lalamika hapa, leo hii unapingana na vile ambavyo uliviwasilisha, sasa kama unaona ni sawa kumlisha mwanaume.., kwanini ulimnyea vibaya yule bwanako? na kwanini usiendelee naye huyo ukampa kila anachotaka kama ni vizuri?... hakuna MWANAUME fala anaekubali kulelewa na mwanamke milele na milele.
Sijafika mbali badowakuswampa hahahahahah, ehe! umeswampa mpaka wapi?!