Wanaume kuogopa wanawake wenye pesa

Wanaume kuogopa wanawake wenye pesa

Sidhan kama wanaogopa wanawake wenye pesa...
Ila wakaka mmeshatambua unatakiwa kuwa na mke unayemmudu na kipato ni vizur uwe unamzid....
Hata sisi wanawake tunajisikia more secured kuwa na mwanaume anayenizid kipato!!!
 
Utaongea nini na babamkwe au mashemeji wakati wanajua Dada yao ndo anasimamia shiw
 
Wanaume wanataka wanawake wasio na hela ili wswanyanyase wawafanye watakavyo sababu tu anamtegemea,wawe na michepukooo..sasa ukiwa na mwanamke mwenye pesa utaanzia wapi? Ndo inakuja zana ya kusema wanawake wenye pesa ni wakorofi kumbe wanasimamia haki,,
 
Back
Top Bottom