Wanawake wenye pesa wanajiamini, na wanaume wanaogopa wanawake wanaojiamini na ndio huigeuza na kuiita dharau. Na hapo sasa kwakuwa wanawake wanaojiamini wanawaintimidate ndio huanza kutafuta sabau kama za "wana dharau, wanajisikia, wabaya....." na mengineyo.Wanawake wenye hela wengi wanadharau
Hadithi njooooo!!!!!!Tulivyoanza mimi nlikuwa nazo zaidi yake yaani hata 1/3 hakuwa nazo ilibidi nimfiche baadhi ya vitu nlivyonavyo. Nimemshika mkono sasa anazo hana shida. Japo alikuwa kasoma tu elimu yetu ilikiwa sawa sema alichelewa somewhere. Hadidhi hadithi
Awezi kukupelekea maji ya kuoga Bafuni, atakupa papuchi muda anao itaji yeye, kilakitu anajua.
Tafautisha kati ya kujiamini na dharau,mwanamke mwenye pesa anamadharau mkuu,mm according to my experience wengi hawaolewi sanaWanawake wenye pesa wanajiamini, na wanaume wanaogopa wanawake wanaojiamini na ndio huigeuza na kuiita dharau. Na hapo sasa kwakuwa wanawake wanaojiamini wanawaintimidate ndio huanza kutafuta sabau kama za "wana dharau, wanajisikia, wabaya....." na mengineyo.
Hata wabure sikutaki