Kitu amabcho nimekigundua kwa wanawake wenye pesa, yaani wanakuwa too possessive.
Na ikitokea unajiweza kifedha yaani hutegemei, basi atafanya kila njia kutaka kukurubuni, usipokuwa makini hata kazi unaweza acha, ama ukaacha kufanya shughuli za kukuingizia kipato.
Commenting from experience