Wanaume kunani?

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Jamani maisha yamebadilika sijui kwa nn siku hizi ukiwauliza wanaume wengi wataoa lini wamekuwa watata sana kueleza lini wengi wanasema wanaishi kisela,ndio kusema siku wanawake wanasumbua au nn????mfano mzuri tuna wasanii wengi wa muziki wa kizazi kipya wanaume ukiwauliza suala la kuoa wanasema wajipange kwanza hivi tatizo ninini hasa japo kuna wanawake wenye tabia kama hizi.
 
Labda hakuna wakuoa sasa watajioa wenyewe?
'
Kwani kuoa ni lazima?
Sosi: Kiranga !!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
jamani sio lazima lakini status yako mm naona inakuwa nzuri ukiwa na mwenza wako au nakosea/
 
Pamoja kwamba kuoa si lazima, lakini ukweli tunawajibika kuoa/Kuolewa katika maisha yetu kama wanadamu.
 
Ukisikiliza vizuri track ya mwana Fa Utaoa lini.. Utapata majibu kuhusu ilo,
Ila usisahau kuwa harusi zinafungwa kila siku,, Hata leo MKATA KIU ninaelekea Mawera kwenye harusi ya friend..
 
Last edited by a moderator:
hivi ni ndoa au harusi!!!!!!!!!!

Ni harusi tu hamna ndoa, watu wako ukumbini kwenye harusi na tabasam la ikweli wakati kamera zimewamulika lakini kamer zikigeuka tu waangalie kwa makini utagundua kitu (kuna mtu juzi alisema sura ina display evil).
 
Unatakiwa uoe ukijipanga hasa kifikra
 

tatizo liko kwa wanawake kwa kuwa wamekuwa wakitoa zile huduma zinazopatikana ndani ya ndoa bila kuwa kwenye ndoa.kwa ufupi ni kwamba wanaume wengi hawaoi kwa kuwa kile ambacho kingepatikana ndani ya ndoa kinapatikana hata nje ya ndoa.sooo imekuwa haina maana
 
Ukisikiliza vizuri track ya mwana Fa Utaoa lini.. Utapata majibu kuhusu ilo,
Ila usisahau kuwa harusi zinafungwa kila siku,, Hata leo MKATA KIU ninaelekea Mawera kwenye harusi ya friend..

Kumegewa inauma
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…