Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,234
- 17,826
Nimekosea ?Mungu wangu.
Nimekosea ?Mungu wangu.
Muombee memaOfcoz manzi wake mzuri sana .
Ila hii tabia ya kumuamini mwanamke 1000% .
Heheheh huyu atakuja simulia siku..
Ni suala LA Muda
WanaumeNani kaonyesha wivu?
Kweli kabisaaBila shaka we ni wale mkipita huwa hatugeuki kuwaangalia!
Akiwajua wanawake ataleta mrejesho pia
Wanawake wamefanyaje?
Ndiyo na mzisake tu acheni waendelee kupenda pesa maana hata wakiacha kupenda pesa bado mtawatumia tu vile vile kwahiyo kuliko kuwatumia bure ni bora muwatumie na pesa angalau maumivu ya kutumiwa yatapunguaNyie si. Mnapenda hela.
Mshatuaminisha hivyo .
Nasisi tunazisaka ili tuwatumie vizuri
Hizo offer zikiambatana na mapenzi na kujaliana basi hauwezi kuachwa ila eti unamnyanyasa na kumsaliti mwanamke in the name of your offers my friend kuachwa ni pieHapana, sio kila kitu ila ndio kitu pekee cha kustawisha penzi, hebu imagine ungekuwa mzuri afu unakutana na mimi nakupa offer za dubai, ibiza na the likes, unachomokaje!?
Yani utoke ninapokupa m uende kupata buku teni!?Hizo offer zikiambatana na mapenzi na kujaliana basi hauwezi kuachwa ila eti unamnyanyasa na kumsaliti mwanamke in the name of your offers my friend kuachwa ni pie
Kama kwako kuna ubabe na usaliti natoka tu nitaenda hata kwa asiyenipa chochote ili mradi kuna upole na uaminifu kwangu mimi pesa si kitu mbele ya mapenzi ya kweliYani utoke ninapokupa m uende kupata buku teni!?
Haujawahi kuchapiwa ndiyo maana unaona kuwa mjanja
Daah hivi kwani wanaume hambadilikagi au?Hawaaminiki muda wowote wanabadilika
Mimi au?Haujawahi kuchapiwa ndiyo maana unaona kuwa mjanja
NashangaaDaah hivi kwani wanaume hambadilikagi au?
Kwani lazima ujibuMuuliZe anaekumiliki kwanza
kuna kitu kinaitwa GRATITUDE hao unaowaona hawana, watu kama hao sio kwa mkewe tu ila huwa hawa appreciate chochote kwenye maisha yao na wana sumu kweli kweli hasa akikosewa hawez kusamehe maana hana shukrani na uwepo wa wengine kwenye maisha yao - hilo nalo ni tatizoBora hata wewe umeona kuwa angalau unatakiwa umsifie mwanamke wako ila kwa kiasi sawa siyo mbaya ila kuna wanaume wanakwambia kumsifia mwanamke ni mwiko hata kama kweli sifa anazo na nikisema sifa simaanishi za uzuri au mvuto tu kama anazosifia nikki wa pili kuna sifa kama za akili au tabia
Sasa kuna wanaume hawasifii wanawake zao kwenye sector yoyote ile iwe ni uzuri mvuto akili au tabia hata wakiwa private tu achilia mbali in public hata kama kweli hao wanawake zao hizo sifa wanazo yaani wanajikuta makauzu na wanaona kama vile watakuwa wamejishusha na wameonyesha udhaifu wa hali ya juu
Kuna post moja kidogo aseme yeye ndio alitoka ubavuni kwa manzi wake![]()




Na kweli ni upofu agata
Ndio maan mke wangu atakuwa wa kawaida lkn wakuchezea (mchepuko)lazima awe kisu hahaha siwezi kukosa kote koteMwanamke mwenye hlo umbo hutegemea na kuamini mwili wake kumuongoza kuliko akili..
Mwanamke anaejiona yy ni mzuri ata asomeshweje bado akili yake itauamini mwili wake kuliko alichosomea!