kuna namna ya kusifia bi dada, unasifia unafikia kiasi unakosoa maandiko matakatifu kama sio ibada ya sanamu ni nini? halafu anatokea kundi la "wagumu" duuh! kaka zake wa tambaza ya miaka hiyo wangekuwepo wangemtia bakora kila kitu kina mipaka yake, unataka kusema kama mke wangu nampenda sana ndo nipindue vitu juu chini chini juu? labda hajawahi kuwa na msichana anayevutia watu wengi (wengine tunajionea kawaida maana tunajua stress zake) halafu mapenzi yenyewe sio ule mwili wake, ni ile personality na aura ya mwanamke maana kama ingekuwa mwili...loh! makahaba wangeongoza kwenye ndoa!! watu wa dizaini hii mke akipata ajali akakatika mguu (siombei hata kdg) na ndoa imeishia hapo maana inawezekana kaoa kwa macho tu !!