Wanaume kukaa kwenye vijiwe vya kahawa

Wanaume kukaa kwenye vijiwe vya kahawa

Wana JF naomba tushauriane katika ili. Unakuta mwanaume ana familia mke na watoto wanahitaji matunzo kutoka kwa baba wa familia. Jambo la kushangaza kila ukipita kwenye kona za mjini kwenye vijiwe vya kahawa na magazeti unakuta wanaume wengi wamekaa wakipiga soga za hapa na pale.

Je wanafanya kazi muda gani kwa ajili ya kujiongezea vipato vyao? Mbaya zaidi leo akikaa kona hii kesho ana kaa kona nyingine, anawezaje kukidhi mahitaji ya familia yake kwa utaratibu huu?

Mbaya zaidi wengine unawakuta muda wa kazi na wala sio jioni baada ya saa za kazi.

Naomba kuwasilisha.
wanatumia chuma ulete
 
tamaduni za watu wa pwani hzo ni wavivu by nature... Lindi, Mtwara, pwani, tanga..
Ni asili yao na hauwezi wabadili.
Dar es Salaam vipi siyo pwani?
 
Vipi vijiwe vya mbege na komoni.
 
Mimi kila siku nashinda kwenye kijiwe cha kahawa ndiyo ofisi kwangu.
 
Aiseeee!!! Heri nikae kwenye vijiwe vya kahawa kuliko kukaa kwenye vilabu vya pombe au madanguro

Wengine wanafahamika kuwa hawajulikani shughuli zao za kila siku ni zipi! Yahaya eee..............
 
ahahahaa..naona mtoa mada hajaelewa kuwa mambo ya sasa ni karne ya 21..dijitali. na pia amesahau kuwa serikali sikuhizi haiajiri watu tena kama ilivyokuwa zamani...TUNAJIAJIRI WENYEWE...pia ame sahau kuwa kila mtu anakuwa na malengo yake binafsi katika shughuli zake za kila siku....ISSUE NI KU-MEET DEADLINES NA TARGETS ZAKO..kwa vile sijaajiriwa basi naweza kupanga muda wa kupumzika niutakao mimi pia na muda wa kufanya kazi niutakao mimi...KIKUBWA NI-MEET DEADLINES.

KUKAA KIJIWENI ICHUKULIWE KUWA NI SEHEMU YA MAPUMZIKO KWA WAFANYAKAZI WASIOKUWA NA BOSS ANAYEWAFUATILIA ..I.E. WAO NI MABOSS WA OFISI NA MAISHA YAO BINAFSI.

PIA USISAHAU...KIJIWENI WATU HAWAKAI TUU..WANAFANYA KAZI KATIKA STAGE YA "PLANNING"..WAKITOKA PALE WANAENDELEA NA "STAGE YA ANALYSIS AND IMPLEMENTATION"...WENGINE KIJIWENI WANAFANYA KAI YA "DATA COLLECTION"..WAKITOKA PALE WANAENDA KUFANYA "DATA PROCESSING AND ANALYSIS"...CJUI UMENIELEWA LAKINI?

KWA MLETA MADA:- KAMA UNADHANI KUKAA KIJIWENI NI KAZI RAHISI BASI JARIBU WEWE UONE..ACHA AJIRA YAKO NJOO UKAE KIJIWENI UTAJUWA KWANINI KUKU ANAKUNYA NA BATA ANAHARA JAPO WOTE WAMEKULA CHAKULA CHA AINA MOJA.
 
Unayoyaongea yanaweza kuwa sahihi ndugu yangu, hoja ni kuwa kuna jirani yangu muda mwingi anakuwa kwenye vijiwe vya kahawa na maisha ya familia yake asilimia kubwa anayabeba mkewe ambaye ameajiriwa serikalini. Mume anatoka nyumbani saa tatu mpaka nne asubuhi na muda mwingi anakuwa vijiweni. Je hayo ndiyo maisha yanavyokwenda???????????????? kama siyo kupiga umbeya.
 
unayoyaongea yanaweza kuwa sahihi ndugu yangu, hoja ni kuwa kuna jirani yangu muda mwingi anakuwa kwenye vijiwe vya kahawa na maisha ya familia yake asilimia kubwa anayabeba mkewe ambaye ameajiriwa serikalini. Mume anatoka nyumbani saa tatu mpaka nne asubuhi na muda mwingi anakuwa vijiweni. Je hayo ndiyo maisha yanavyokwenda???????????????? Kama siyo kupiga umbeya.

nami pia kwa mfano huu wa jirani yako ..napinga wanaume au hata wake zetu kukaa vijiwe visivyokuwa na tija...wanaume huwa tunaamini kuwa hata kama huna kazi unatakiwa utoke ukazunguke mitaani utapata kazi yoyote jioni urudi nyumbani na chochote kitu..inawezekana leo usipate kesho ukapata na au hata mwezi ukapita bilabila iala mwezi ujao mambo yakanyooka...sasa hivyo vijiwe tunakuwa tunabadilishana mawazo chanya ya nini kifanyike nani ana deal gani mtu upige hata ushanta ule cha juu.

Jirani yako pia yawezekana bado deal hazijakaa sawa...na mwanaume sifa yake kutafuta...hawezi kukaa ndani mwishowe atembee na dada wa kazi aitie familia aibu.
 
Unayoyaongea yanaweza kuwa sahihi ndugu yangu, hoja ni kuwa kuna jirani yangu muda mwingi anakuwa kwenye vijiwe vya kahawa na maisha ya familia yake asilimia kubwa anayabeba mkewe ambaye ameajiriwa serikalini. Mume anatoka nyumbani saa tatu mpaka nne asubuhi na muda mwingi anakuwa vijiweni. Je hayo ndiyo maisha yanavyokwenda???????????????? kama siyo kupiga umbeya.

Kama nimekuelewa vizuri unasema saa nyingi huwa anakuwa kwenye vijiwe that's means huwa mnakuwa wote vijiweni. Sijaona bado tofauti yake na yako.

By the way wewe mbona muda huu ni working hours ni kipi kinachokuleta hapa JF kupiga porojo badala ya kufanya kazi? Au ndio walewale nyani halioni kundule?
 
nami pia kwa mfano huu wa jirani yako ..napinga wanaume au hata wake zetu kukaa vijiwe visivyokuwa na tija...wanaume huwa tunaamini kuwa hata kama huna kazi unatakiwa utoke ukazunguke mitaani utapata kazi yoyote jioni urudi nyumbani na chochote kitu..inawezekana leo usipate kesho ukapata na au hata mwezi ukapita bilabila iala mwezi ujao mambo yakanyooka...sasa hivyo vijiwe tunakuwa tunabadilishana mawazo chanya ya nini kifanyike nani ana deal gani mtu upige hata ushanta ule cha juu.

Jirani yako pia yawezekana bado deal hazijakaa sawa...na mwanaume sifa yake kutafuta...hawezi kukaa ndani mwishowe atembee na dada wa kazi aitie familia aibu.

Mpaka mtu unafikia kuhoji inamaana kuna hali ambayo siyo ya kawaida ili tuweze kujadiliana kati hili.
 
Wengine wana nyumba za urithi kariakoo.. Mtu ana flemu zake kariakoo anapangisha, ana haja gani ya kukimbizana kimbizana..

Wengi wao wanaokaa sana vijiweni ni madalali.. Kazi zao za kudalalia dalalia vitu..
 
Back
Top Bottom