Wanaume kukaa kwenye vijiwe vya kahawa

Wanaume kukaa kwenye vijiwe vya kahawa

bahati mbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
578
Reaction score
193
Wana JF naomba tushauriane katika ili. Unakuta mwanaume ana familia mke na watoto wanahitaji matunzo kutoka kwa baba wa familia. Jambo la kushangaza kila ukipita kwenye kona za mjini kwenye vijiwe vya kahawa na magazeti unakuta wanaume wengi wamekaa wakipiga soga za hapa na pale.

Je wanafanya kazi muda gani kwa ajili ya kujiongezea vipato vyao? Mbaya zaidi leo akikaa kona hii kesho ana kaa kona nyingine, anawezaje kukidhi mahitaji ya familia yake kwa utaratibu huu?

Mbaya zaidi wengine unawakuta muda wa kazi na wala sio jioni baada ya saa za kazi.

Naomba kuwasilisha.
 
^^
Na siku hizi kuna vijiwe vinaitwa SOCIAL NETWORKS.
24hrs wapo online!
Ila kama familia inahudumiwa vema,watoto wanasoma,mama anavaa WHY bother
^^
 
Kwani walikuambia hawana kazi na kwamba nyumbani kwao wanalala njaa?? Acha kuchunguza ya watu fuata yako.
 
tamaduni za watu wa pwani hzo ni wavivu by nature... Lindi, Mtwara, pwani, tanga..
Ni asili yao na hauwezi wabadili.
 
Kwani walikuambia hawana kazi na kwamba nyumbani kwao wanalala njaa?? Acha kuchunguza ya watu fuata yako.

Kazi wanafanya saa ngapi? Matokeo yake ni kuwapa wake zao majukumu ya kuangaika na familia wakati wao wamekalia umbea mjini.
 
tamaduni za watu wa pwani hzo ni wavivu by nature... Lindi, Mtwara, pwani, tanga..
Ni asili yao na hauwezi wabadili.

Acha dharau na kejel zko ww...
Malzia mikoa mngine na tamadun zao baxi 2jue!!
 
Mbaya zaidi wengine unawakuta muda wa kazi na wala sio jioni baada ya saa za kazi.

Muda wa kazi ndio muda upi?

Una uhakika kuwa kila aina ya kazi ina muda linganifu wa kuanza kazi na kumaliza kazi?
 
Muda wa kazi sio kila mtu kaajiriwa bi dada. Kukaa kwenye magazeti au kwenye kahawa hakuna ubaya kama umemaliza shughuli zako na kwenda kubadilishana mawazo, hilo ni Gubu maana akienda Bar mnalalamia.

Na nyie muache kwenda kupiga Umbea kwenye Saloon.
 
Wana JF naomba tushauriane katika ili. Unakuta mwanaume ana familia mke na watoto wanahitaji matunzo kutoka kwa baba wa familia. Jambo la kushangaza kila ukipita kwenye kona za mjini kwenye vijiwe vya kahawa na magazeti unakuta wanaume wengi wamekaa wakipiga soga za hapa na pale.

Je wanafanya kazi muda gani kwa ajili ya kujiongezea vipato vyao? Mbaya zaidi leo akikaa kona hii kesho ana kaa kona nyingine, anawezaje kukidhi mahitaji ya familia yake kwa utaratibu huu?

Mbaya zaidi wengine unawakuta muda wa kazi na wala sio jioni baada ya saa za kazi.

Naomba kuwasilisha.

Acha kukariri wewe......kazi sio lazima kila saa uwe unakimbia kimbia tu............wewe ndio wale wa busy for nothing. Mko wengi sana, unakuta mtu anajifanya anakimbia kimbia...bizeee.......kumbe hamna kitu...povu tu linamtoka.
 
tamaduni za watu wa pwani hzo ni wavivu by nature... Lindi, Mtwara, pwani, tanga..
Ni asili yao na hauwezi wabadili.

Ndiyo sababu wake zao ni mafiga matatu, moja haliivishi
 
Muda wa kazi ndio muda upi?

Una uhakika kuwa kila aina ya kazi ina muda linganifu wa kuanza kazi na kumaliza kazi?

Kama sie tunaofanya kazi za shift. wakituona kitaa mchana wanatuona majobles
 
Wapi iliandikwa wanamume lazima wafanye kazi mchana? Na tunaoingia shift za usiku na mchana kutumia muda wetu kubadilishana mawazo na kupata gahawa? No research, no right to write a paper! And speak also!
 
bahati mbaya hujawauliza wenyewe!

Mbaya zaidi unatuuliza sisi ambao hatujawahi kukaa vijiwe vya kahawa!
 
Last edited by a moderator:
Aiseeee!!! Heri nikae kwenye vijiwe vya kahawa kuliko kukaa kwenye vilabu vya pombe au madanguro
 
Back
Top Bottom