Wanaume komeni kututisha

Hahaha loh roho mbaya,naonaga hvo vyeo bt sielewagi em nieleweshe

Hahahahah, sinaga roho mbaya hata kidogo. Binafsi sijui vizuri, nachonaga ukijiunga unakuwa member, senior member, JF expert member and finally gold member, Kutoka member hadi JF expert unapanda kwa kupost lakini kufikia gold au bronze member kuna kulipa nadhani. Wanaojua watanisaidia pia, sina hakika na vyeo vya humu saaaana.
 
Una miaka mingapi? Ukifikisha 35 utaelewa jinsi ya kujirekebisha hayo matatizo madogo madogo unayolalamikiwa....
 
.. punguza jazba kwanza.. then elewa kua mwanaume ndo muoaji ... ukiwa na jazba ukaleta jeur na kiburi at the end of the moment utakosa mume ... marital status yako haitobadilika mpk utajuta ... so you should be careful men always will be men ... Ndivyo ilivyo ...
 
watajifanya hawaelewi ila wanaotisha, wanaotishwa wamesikia wamekuelewa wataamua wabadilike au wawe hivyohivyo
 
Una miaka mingapi?Ngoja ukifika 33 hivi ndipo utakapojua ulichokiandika hapa.
 
Mkuu sasa nimeanza kuelewa kwani ungalic"single" hadi sasa!!!!
 
Sawa sasa sjui ikawajee nikawa senior kwa siku moja lol
 
Ndoa kwenu tuzo ndio maana mnaliaga machoz ya furaha Kama kasa anataga mayai ufukweni.
 
Kama umetendwa n ww tafuta myonge umtendee sio kulalamika JF
 
Wakuu..
Huyu atakua ni Monika kama sio Yudia..
Anastress za Dany..
 
Mtoa mada naona anajitekenya mwenyewe anacheka, mara ya mwisho nimecheki kila mwanamke niliyewahi kuwa nae au niliyemtongoza aliniuliza swali hili UNAMPANGO GANI NA MIMI mwenye kuelewa atakuwa ameelewa na mwenye kubisha abishe tuu maana hakuna namna.
 
Pole kwa kukojikosesha ndoa. Siku nyingine kuwa makini.

Vitisho lazima viwepo, wewe ushaambia utaolewa,lakini bado unachepuka, utatishwa tu.maana hakuna namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…