Wanaume komeni kututisha

Mwanaume katika ID ya kike huku akiongea shombo juu ya wanaume wenzie.. Jf bhana
 
Wape wape vidonge vyao,
Wakimeza Wakitema,
Shauri yao.
 
why uwe stressed na mahusiano wakati ni kitu cha kawaida tu ? tatizo watu mnapenda kuishi imaginary life matokeo yake maigizo kibao utavuruga na kuvurugwa tu.
ndoa ni uhusiano kama uhusiano mwingine ila una taratibu na miiko yake
True lkn wanaume wengn wana jifanya kama wana tusaidia sana kutuoa wakati ndoa ni contract of two people, kwa maana hyo hata sisi wanawake tuna option ya kuchagua wanaume.sio nyinyi mjifanye ndo mnatu okoa kwa kutu oa
 

Safi sana,
Agiza Kongoro nitalipa.:-D
 
Mwanamke unafoka hivi aisee wewe lazima uachwe tu hakuna namna
 
Axante nadhan umo kwa wanaounga mkono wanawake na wanaume haki sawa,haya andaa mahali ukaoeeee
 
Sawa mkuu..... Naona umeamua kutoa ya moyoni mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…