Wanaume kinachotuhangaisha nini??

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Najaribu kufikiria sipati jibu Nini hasa wanaume hutufanye tuhangaike kiasi hicho?/Mfano unahangaikia demu hujampata anaweza akakuita ukaacha shughuli zako ukiwa Kibaha ukaenda Kinondoni na ukufika pale Mwanamke anakuomba lift umpeleke Sinza saloon na hauoni kama nigharama wala nini !!Je nini kitusumbua cho??Je Ni umbile Je ni Vyombo??Kama ni Maumbile mbona hatuhangaiki nayo wakati majambozi??Je kama ni vyombo mbona vyote muundo wake niulule hata harufu asilia niileile??Kwa nini tusibaki na tulionao??Najitahidi kupingana na matakwa yangu nimeshindwa nauliza kwenu!!
 
leo kakakiiza umeamua.... haya heri inshallah sasa huyo aliekwambia umpeleke saloon mwengine eeh?? maana sijafaham kidogo yaani una mke lakini ukiona mwengine wamtamani ndio ulivyomaanisha au nimeelewa tofauti kidogo??
Jamani Kibaha hadi Dar then nipeleke pale saloon na unajisahau kama umetoka kibaha!!....lol
 
leo kakakiiza umeamua.... haya heri inshallah sasa huyo aliekwambia umpeleke saloon mwengine eeh?? maana sijafaham kidogo yaani una mke lakini ukiona mwengine wamtamani ndio ulivyomaanisha au nimeelewa tofauti kidogo??
Namaanisha yatupasa kuwa wavumilivu na tulivyonavyo kwani kama huna tafuta lakini tukumbuke tu nagharamikia kitu ambacho tayari tunacho!!Ndiyo maana unaweza ukaitwa ukiwa kibaha ukaenda kinondoni kufika ukaambiwa nataka unipeleke sinza unasahau safari uliyotoka!sasa sioni kwa nini tuangaike mpaka kiasi cha kijisahau!! nini maana yake wakati saa nyingine hicho kitu umekiifadhi!!
 
Najaribu kufikiria sipati jibu Nini hasa wanaume hutufanye tuhangaike kiasi hicho?/Mfano unahangaikia demu hujampata anaweza akakuita ukaacha shughuli zako ukiwa Kibaha ukaenda Kinondoni na ukufika pale Mwanamke anakuomba lift umpeleke Sinza saloon na hauoni kama nigharama wala nini !!Je nini kitusumbua cho??Je Ni umbile Je ni Vyombo??Kama ni Maumbile mbona hatuhangaiki nayo wakati majambozi??Je kama ni vyombo mbona vyote muundo wake niulule hata harufu asilia niileile??Kwa nini tusibaki na tulionao??Najitahidi kupingana na matakwa yangu nimeshindwa nauliza kwenu!!
I may love.. but I love myself more....:A S 13:
 
ha ha ha ha,swali zuri.....nami huwa najiuliza kinachowahangaisha nini? utapokea majibu kama siwezi kula mboga moja kila siku,mara sijui kipya kinyemi mara sijui......yaani ili mradi ame-justify matendo yake.....mtazunguka mabucha yote yote,nyama ni ile ile uliyoipata mwanzo....lol
 
Kutojiamini na kutokufahamu unataka nini hasa kwenye maisha, inaweza ikawa ni chanzo cha mahangaiko.
 
Najaribu kufikiria sipati jibu Nini hasa wanaume hutufanye tuhangaike kiasi hicho?/Mfano unahangaikia demu hujampata anaweza akakuita ukaacha shughuli zako ukiwa Kibaha ukaenda Kinondoni na ukufika pale Mwanamke anakuomba lift umpeleke Sinza saloon na hauoni kama nigharama wala nini !!Je nini kitusumbua cho??Je Ni umbile Je ni Vyombo??Kama ni Maumbile mbona hatuhangaiki nayo wakati majambozi??Je kama ni vyombo mbona vyote muundo wake niulule hata harufu asilia niileile??Kwa nini tusibaki na tulionao??Najitahidi kupingana na matakwa yangu nimeshindwa nauliza kwenu!!

Wanosumbuka ni watoto wa "gate" kali!

Wale ambao hamjatumia ujana wenu vizuri ndiyo mnahangaishwa na "vitobo"!

Janaume na akili zake (30+) linachukua mwanamke Dar es Salaam linampeleka Dubai kufanyanae zinaa! Huo ni uendawazimu outright.

Linasahau kuwa in principle "K**A usinyaa na kutanuka" and that is all!
 
hata mimi nashangaa ninawaonaga wajomba zangu hapa ARUSHA utafikiri wanaandika research ya maumbile ya wanawake,kila nikiwauliza wananijibu ungekuwa mwanaume ungefanya hayahaya tufanyayo. Sijui ni kinini kipo akilini mwa wanaume.
 
Wanosumbuka ni watoto wa "gate" kali!

Wale ambao hamjatumia ujana wenu vizuri ndiyo mnahangaishwa na "vitobo"!

Janaume na akili zake (30+) linachukua mwanamke Dar es Salaam linampeleka Dubai kufanyanae zinaa! Huo ni uendawazimu outright.

Linasahau kuwa in principle "K**A usinyaa na kutanuka" and that is all!
Je akirudi anapewa nini??Utakuta anapewa X6 kwa mkojo wa dakika mamilioni yanadondoka!!
 
Mapenzi kizunguzungu unajikuta unafanya mambo bila kufikira kwa wakati ule baadae ndo unaanza hivi ilikuwaje???
 
Kweli nikuchanganyikiwa, baada ya mahsughuli yoote hayo, unapata kumbe mambo ''sivyo ndivyo'', kitu Dharau!!!!!, wabaki kujiuliza yote hayo yalikuwa yanini?????. Bibi mmoja alimuuliza Bwana ' Wee waacha choo kisafi hapa nyumbani, wenda toa hela kutumia choo kichafu na chatumika na watu weeengi cha manispaaa, si uwenda wazimu huoo!"
 
Najaribu kufikiria sipati jibu Nini hasa wanaume hutufanye tuhangaike kiasi hicho?/Mfano unahangaikia demu hujampata anaweza akakuita ukaacha shughuli zako ukiwa Kibaha ukaenda Kinondoni na ukufika pale Mwanamke anakuomba lift umpeleke Sinza saloon na hauoni kama nigharama wala nini !!Je nini kitusumbua cho??Je Ni umbile Je ni Vyombo??Kama ni Maumbile mbona hatuhangaiki nayo wakati majambozi??Je kama ni vyombo mbona vyote muundo wake niulule hata harufu asilia niileile??Kwa nini tusibaki na tulionao??Najitahidi kupingana na matakwa yangu nimeshindwa nauliza kwenu!!

...mnh, kaka umekuwa 'msukule?'
 
Back
Top Bottom