Wanaume kinachotuhangaisha nini??

Enhe juzi ulivyoaga tu kipenzi chako kikaingia!Alivyokuita kwa shari mpaka nikaondoka eneo la tukio bila hata kuaga!

Baby unachat kwenye thread ya jamaa! Kibaya zaidi na Uporoto01 mwenye kesi
 
Enhe juzi ulivyoaga tu kipenzi chako kikaingia!Alivyokuita kwa shari mpaka nikaondoka eneo la tukio bila hata kuaga!
Kipenzi changu ni wewe tu na kila kitu nimeweka kimaandishi kila mtu aone wala siongei vichochoroni na hata my ex alipoona sijakanusha kitu.
 
Hii ni dhambi pekee ambayo kama Mungu atatoa msamaha siku ya kiama basi Mbinguni kutajaa sana na kupata siti itakuwa shida.
 
Kipenzi changu ni wewe tu na kila kitu nimeweka kimaandishi kila mtu aone wala siongei vichochoroni na hata my ex alipoona sijakanusha kitu.

Mhhh mhhh mmhhh!That's all i'm gona say!Haya jamani tutokeni kwenye thread ya watu kabla hatujapigwa ban!
 
Mhhh mhhh mmhhh!That's all i'm gona say!Haya jamani tutokeni kwenye thread ya watu kabla hatujapigwa ban!
Mbona tunarudi nyuma dearest tulishaongea kutambulishana labda sasa tuongelee kama mila zenu nakuja peke yangu au na mjomba/ba mdogo.
 
Mbona tunarudi nyuma dearest tulishaongea kutambulishana labda sasa tuongelee kama mila zenu nakuja peke yangu au na mjomba/ba mdogo.

Dearest nimesikia kuna watu hua wanatembezewa kichapo kwa mambo kama haya...sitaki kua mmoja wao!
 
Mtasema mengi sana lakini haya ni mambo ya kawaida ambayo tumeyakuta, tutayaacha, hivyo sio mambo mageni hata wake zetu wanajua hawako pekee yao.
 
Mtasema mengi sana lakini haya ni mambo ya kawaida ambayo tumeyakuta, tutayaacha, hivyo sio mambo mageni hata wake zetu wanajua hawako pekee yao.
 
Najaribu kufikiria sipati jibu Nini hasa wanaume hutufanye tuhangaike kiasi hicho?/Mfano unahangaikia demu hujampata anaweza akakuita ukaacha shughuli zako ukiwa Kibaha ukaenda Kinondoni na ukufika pale Mwanamke anakuomba lift umpeleke Sinza saloon na hauoni kama nigharama wala nini !!Je nini kitusumbua cho??Je Ni umbile Je ni Vyombo??Kama ni Maumbile mbona hatuhangaiki nayo wakati majambozi??Je kama ni vyombo mbona vyote muundo wake niulule hata harufu asilia niileile??Kwa nini tusibaki na tulionao??Najitahidi kupingana na matakwa yangu nimeshindwa nauliza kwenu!!

Ni shetani tu anayetusumbua. Tuombe Mungu atatuwezesha kuishi maisha matakatifu.
 
Duh!! mbona mie jamani sijampata mwanaume wa kihivyo????????????? wakunipeleka salon, kunipeleka Mlimani City kufanya shopping, au hata kunikopea kwa Mangi eeh!! aaaaaaaahhhhhhhh !!
 
Duh!! mbona mie jamani sijampata mwanaume wa kihivyo????????????? wakunipeleka salon, kunipeleka Mlimani City kufanya shopping, au hata kunikopea kwa Mangi eeh!! aaaaaaaahhhhhhhh !!

ukion ivo ujue bado hujampata zuzu....
 
homu boyi umeacha kuhonga siku hizi?

hommie umesahau...uwezo wa kuhonga sina miye mtoto wa mkulima....wahongaji huwajui.....wale mabepari wale na makabaila hahaha

habar yake hommie.....:car::car::car:
 
hommie umesahau...uwezo wa kuhonga sina miye mtoto wa mkulima....wahongaji huwajui.....wale mabepari wale na makabaila hahaha

habar yake hommie.....:car::car::car:
Habari yake muzuri hommie.
Lakini homu boi kuhonga ni kuhonga tu tunatofautiana uwezo wengine wanahonga meli sie tunahonga peni!
 
Back
Top Bottom