nyaggad
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 1,160
- 694
Ndoa ni matamanio ya kingono bhana
sa unanioa uniangaie tu
lol
Ndoa sio matamanio ya kingono,rekebisha kauli yako!,unatuvunjia heshima tulioa,ndoa inamaana kubwa sana usipotoshe umma!
Ndoa ni matamanio ya kingono bhana
sa unanioa uniangaie tu
lol
Ndoa sio matamanio ya kingono,rekebisha kauli yako!,unatuvunjia heshima tulioa,ndoa inamaana kubwa sana usipotoshe umma!
Mithali 11:22 22.--"Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe, Kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili" thamani ya mwanamke ni tabia. Kama ni urembo Wema angekuwa ameshaolewa siku nyingi sana.
Habari wanajamvi,nimeikuta mahala na ikanifurahisha sana.
Heri yako wewe unayesaka mke mwenye tabia nzuri,mi huo Msako nimeacha siku nyingiii,kama ni tabia nitamuazima Tabia zangu tukishaoana,kisa cha kujinyima vitu vizuri kisa nasaka mama paroko.
Wakati wa kutafuta mtoto tabia haitumiki ,ni mwendo wa ashki tu na jinsi ntakavyopagawishwa na kucha zake na amenigusa wapi,unahitaji kupata mke "malaya wa kitanda"
Nikirudi na Stress za kazini niikute hii figa iko ndani ya Bikini tu inanisubiri,anidake aanze "kutuma salamu kwa hisia " huku analalamika kwa uongo na kweli tabia ikae mbali huko.
Nikialikwa mtoko na washkaji sina haja ya kujiuliza kama niende mwenyewe au lah,Ntamwambia "Mke wangu leo usiku tunatoka Outing,please dress to kill",na muda wote wa mtoko nitakuwa nimemshika kiuno ili kutuma Meseji kwa kila anayeniangalia kwamba "Yes nafaidi hili buno daily".
Hapa tabia haihusiki kuna watu kila ukiwaalika hawaji na wake zao japo walioa tabia kisa mwanamke haangaliki mara mbili,kisa mi sitaki hayo mambo nataka nikishtuka usiku wa manane pamoja na lepe la usingizi kunizidia lakini macho yangu yapangue giza totoro la chumbani nione hili buno pembeni yangu,nilishike kwa uchu halafu nimshtue taratibu,"babynaomba kimoko"
Mchana mwema wasaka tabia njema,ndo maana mnaibuka na vitu kichefuchefu mpakani unajisemea labda alipewa discount ya mahari,mke wangu wa milele lazima awe ananistua nikimuona. Tabia ntampunguzia za kwangu.
kazi kuu ya ndoa ni sex tu mengine nayafanya hata nikiwa sina mume
Wwe unaonekana unapenda sana sex,wwe ni mwanamke wa pwani ..eeh!,maana umekariri sex tu,wwe utakuwa mtamu kitandani2 ila kwenye kuplan future ya familia upo shallow!!,sanaaa!
Wa aina hiyo mbona tunajishindia daily magori ya kuzid kumbe wewe hao ndiyo first choice dah pole
hahhahahah
am lesbian
Masoud Sura mbaya atakufaa au Mzee wa Gombe aka Wassir...
Jamani sijawahi kumlaumu mwanamke /Wanawake kupenda pesa. Zamani Wanawake walipenda kuolewa na watu mashujaa katika vita, waganga wa kienyeji na watu jasiri ktk jamii. Hii ilikuwa inawahakikishia usalama wao ktk maisha. Ulimwengu wa leo tafsiri ya mtu shujaa au jasiri na mwenye kuhakikisha usalama wa mwanamke ni mtu mwenye PESA, FALANGA AU PAKEE. Endeleeni kupenda wenye pesa na mna haki kwa kufanya hilo.