Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Heri yako wewe unayesaka Mke mwenye
TABIA NZURI,
mi huo Msako nimeacha siku
nyingiii,Kama ni Tabia nitamuazima Tabia
zangu tukishaoana..Kisa cha Kujinyima vitu
vizuri kisa nasaka MAMA PAROKO??
Wakati wa Kutafuta Mtoto TABIA
HAITUMIKI,ni mwendo wa Ashki tu na jinsi
ntakavyopagawishwa na kucha zake na
amenigusa wapi..
Unahitaji kupata Mke "Malaya wa Kitanda"
Nikirudi na Stress za kazini niikute hii figa
iko ndani ya Bikini tu inanisubiri,anidake
aanze "KUTUMA SALAMU KWA HISIA"
huku analalamika kwa uongo na
kweli...TABIA IKAE MBALI HUKOO
Nikialikwa mtoko na washkaji sina haja ya
kujiuliza kama niende mwenyewe au
lah,
Ntamwambia "Mke wangu leo usiku
tunatoka Outing,please DRESS TO KILL",na
muda wote wa mtoko nitakuwa nimemshika
kiuno ili kutuma Meseji kwa kila
anayeniangalia kwamba "YES NAFAIDI HILI
BUNO BURE DEILE" na hapa TABIA WALA
HAIHUSIKI!Kuna watu kila ukiwaalika
hawaji na wake zao japo walioa TABIA,kisa
MKE HAANGALIKI MARA 2...
Mi sitaki hayo mambo...Nataka nikishtuka Usiku wa
Manane pamoja na lepe la usingizi kunizidia
lakini macho yangu yapangue giza totoro la
chumbani nione HILI BUNO pembeni
yangu,nilishike kwa uchu halafu nimshtue
taratibu,"BEBI NAOMBA KIMOKO"
Goodnite Wasaka Tabia Njema,Ndo maana
mnaibuka na vitu kichefuchefu mpaka
unajisemea LABDA ALIPEWA DISKAUNTI
YA MAHARI!
Mke wangu wa Milele lazima awe
ANANISHTUA NIKIMUONA,Tabia
ntampunguzia za kwangu!
Usioe Mke ana Shepu kama TANGAWIZI eti
kwa kisingizio cha TABIA,Mwanaume
amejawa Tamaa Masaa 24,mnaoa vituko
halafu full kuchepuka na MABUNO,Tabia
nzuri waachie MAKATEKISTA!
Daaah, kuna watu wamepinda aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]