BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,283
Hapo kwenye rangi muhimu sana hilo "A lady in the street, but a FREAK in the bed" , hata Evelyn Salt analijua hili.
Habari wanajamvi,nimeikuta mahala na ikanifurahisha shana
Heri yako wewe unayesaka Mke mwenye TABIA NZURI,mi huo Msako nimeacha siku nyingiii,Kama ni Tabia nitamuazima Tabia zangu tukishaoana..Kisa cha Kujinyima vitu vizuri kisa nasaka MAMA PAROKO??
Wakati wa Kutafuta Mtoto TABIA HAITUMIKI,ni mwendo wa Ashki tu na jinsi ntakavyopagawishwa na kucha zake na amenigusa wapi..Unahitaji kupata Mke "Malaya wa Kitanda"
Nikirudi na Stress za kazini niikute hii figa iko ndani ya Bikini tu inanisubiri,anidake aanze "KUTUMA SALAMU KWA HISIA" huku analalamika kwa uongo na kweli...TABIA IKAE MBALI HUKOO
Nikialikwa mtoko na washkaji sina haja ya kujiuliza kama niende mwenyewe au lah,Ntamwambia "Mke wangu leo usiku tunatoka Outing,please DRESS TO KILL",na muda wote wa mtoko nitakuwa nimemshika kiuno ili kutuma Meseji kwa kila anayeniangalia kwamba "YES NAFAIDI HILI BUNO BURE DEILE" na hapa TABIA WALA HAIHUSIKI!Kuna watu kila ukiwaalika hawaji na wake zao japo walioa TABIA,kisa MKE HAANGALIKI MARA 2...Mi sitaki hayo mambo...Nataka nikishtuka Usiku wa Manane pamoja na lepe la usingizi kunizidia lakini macho yangu yapangue giza totoro la chumbani nione HILI BUNO pembeni yangu,nilishike kwa uchu halafu nimshtue taratibu,"BEBI NAOMBA KIMOKO"
Mchana mwema Wasaka Tabia Njema,Ndo maana mnaibuka na vitu kichefuchefu mpakani unajisemea LABDA ALIPEWA DISKAUNTI YA MAHARI!
Mke wangu wa Milele lazima awe ANANISHTUA NIKIMUONA,Tabia ntampunguzia za kwangu!
Last edited by a moderator: