Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
WANAWAKE ni lazima muelewe kwamba ni vigumu sana kuelewa saikologia ya mwanaume katika tendo la ndoa.
Anaweza akajitolea kukusaidia lakini kumbe mwisho wa siku anataka penzi lako..
Anaweza akakuambia anakumpenda kumbe mwisho wa siku anataka tu kufanya mapenzi na wewe..
Anaweza akakuazima fedha lakini mwisho wa siku ni kwa lengo la kukuvuta tu ili apate penzi lako..
Anaweza akakupatia kazi lakini mwisho wa siku akahitaji penzi lako..
Anaweza akakufaulisha katika masomo yako lakini mwisho wa siku akahitaji kulala na wewe.. Kitu cha kwanza kabisa ambacho leo nataka nikufundishe ni kwamba unatakiwa kujua mfumo mzima wa mwanaume katika saikolojia ya tendo la ndoa, kitu hiki cha kuwa na uhitaji wa tendo la ndoa na tamaa ya ngono cha kwanza ufahamu sisi hatukuuomba tuwe nao na wala hatukuutengeneza sisi.
Hivi unafahamu kwamba asilimia 95% ya wanaume waliokamilika na wenye afya huamka asubuhi uume umesimama?, je unafikiri hiki kitu ni sisi ndio tulikiweka katika mwili.? No!, hivi unafahamu kwamba mfumo wa uume huwa unaufahamu wake wenyewe?.. Unaweza ukawa unasoma biblia na uume ukasimama, mwanaume anaweza akawa amelala kabisa usingizi wa kukoroma lakini akianza tu kushikwa shikwa sehemu ya uume na mwanamke basi ni lazima uume usimame hata kama hajaamka na bado anakoroma usingizini!! Hivi ilishawahi kujiuliza ni kwanini wanaume hawana kitu kinachoitwa "Periods" au "Bad mood", hivi ndivyo Mungu alivyotuumba, mwanaume yeye muda wowote huwa yupo tayari kwa sex, umguse kichwani mwake basi yeye atajua tayari wewe unahitaji ngono, asione hata paja basi yeye tayari ameshakuvutia picha kwamba upo uchi tayari na ameshaona kila kitu.
Hata akiwa anapita barabarani mtikisiko tu wa makalio ya mwanamke husababisha hata kuhama njia na kupoteza network zote za kichwa kiasi kwamba unaweza kusema ametupiwa majini, na ndio maana kanisani au msikitini huwa hawaruhusu kabisa wenye nguo fupi wakae bench la mbele kabisa kwasababu wanafahamu kabisa mchungaji anaweza akatoka katika uwepo wa ki-Mungu na hali ikitokea haimalizwi kwa kukemea ndio maana nataka ujue we dada mwanaume anapokutongoa anataka ngono hilo la kukuoa huja badae sana.