Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,211
- 99,963
Kumbe.........
Mbona nipo muda sana humu
ID nyingine hii Kanungila KarimMbona ID yako inaonyesha umejiunga tarehe 12 mkuu,anyway karibu.hope to learn a lot from you....
Ujue sometimes unamtongoza mwanaume mwenzioDaaaaaah,me hata nikiona ID ya KE humu JF,mambo yanakuwa 🔥🔥🔥🔥
Bahati nzuri cjawahi kuaproach any manzi humu ndan.🌝🌝🌝Ujue sometimes unamtongoza mwanaume mwenzio
Ashukuriwe Sir GOD wa mbinguniBahati nzuri cjawahi kuaproach any manzi humu ndan.🌝🌝🌝
Kwani unateseka?Sasa siri zetu mbona unaziweka hadharani...?
ameeen,🙏🏿🙏🏿🙏🏿Ashukuriwe Sir GOD wa mbinguni
haswa ukiwa na sifa kuu mbili,pesa na urijaliRaha sana kuzaliwa mwanaume.
Swadaktaaahaswa ukiwa na sifa kuu mbili,pesa na urijali