WANAUME kama TESTER nao WANAWAKE kama TESTER

WANAUME kama TESTER nao WANAWAKE kama TESTER

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
mwanamke anamilikiwa na wanaume kibao na hajui achague yupi kati ya hao,mbaya zaidi hata akiwa nao wanane bado akikutana na mwanaume mwingine atamwambia hana mtu kabisa,ama alikuwa nae wakaachana,kweli kwa urembo wote yupo single?Msichana mrembo anachanua kwa wote na huwezi kumuokota kama embe,TAHADHARI kwa wale wanaume waliokaa na wapenzi wao muda mrefu mara kadhaa wanakutana na tester na mapenzi ya muda mfupi yanawafanya waachane na msichana WIFE MATEREAL,ONYO:unaweza kukutana na mrembo mpya akakupa matumaini JE HUYO SI TESTER?"the satan you know is better than the angel you don't know"kwa matester MAPENZI NI MAZINGAOMBWE be careful.
wanaume tester nao wapo mtaani,ana mademu 10 na hajui amuoe nani na bado anaongeza wengine,TAHADHARI,wewe msichana mrembo una boyfriend wako safi tena wa kitambo si kila unaekutana nae zaidi ya mpenzi wako ndio anakufaa.HUJIULIZI IWEJE DHAHABU IKOSE WA KUIMILIKI?,WENGINE NI TESTER utakuja kujuta kumwacha akupendae.
Wapenzi"SI KILA ANAEKUPENDA ANA MALENGO NA WEWE,just testing"
 
Wanawake sio MATESTER they are looking for money,TESTER is MONEY
 
Labda umebase ktk ulimwengu wa shetani zaidi maana ktk ulimwengu wa kiroho haiko hivyo kwani kwa binti au kijana anayemtegemea Mungu vilivyo hujiamini.Tunasahau kitu kimoja mke mwema au mme mwema hutoka kwa Mungu na si vinginevyo hata Adamu aliletewa mke mwema na Mungu wala hakutafuta mwenyewe, mtegemee Mungu atakuletea mke bora.
 
Mke mwema hutoka kwa bwana mali na fedha ni urithitoka kwa baba
 
Labda umebase ktk ulimwengu wa shetani zaidi maana ktk ulimwengu wa kiroho haiko hivyo kwani kwa binti au kijana anayemtegemea Mungu vilivyo hujiamini.Tunasahau kitu kimoja mke mwema au mme mwema hutoka kwa Mungu na si vinginevyo hata Adamu aliletewa mke mwema na Mungu wala hakutafuta mwenyewe, mtegemee Mungu atakuletea mke bora.



We ndugu usijifanye unaishi kwenye dunia ya peke yako,kuna hao wanaojiita wamekomaa kiroho/walokole wangapi wanazingua tunashuhudia uchumba unavunjika kila leo na wote ni walokole...siyo kwamba ka_base kwenye ulimwengu wa shetani,haya mambo yapo.Kuna walokole kibao wanalia na mapenzi wengine hadi ndani ya ndoa zao na walioana wote wakiwa walokole.Acheni kujikweza...Hii kitu anayosema mleta mada ipo pande zote
 
Back
Top Bottom