Wanaume kama mashoga

arabianfalcon

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
2,285
583
Habari zenu wana JF,
Jamani naomba niulize kuna wanaume wengine wanakua na wapenzi wao chumbani wanafanya mambo yao wao wawili ambayo ni siri yao
Ghafla akito hapo anaongelea kwa rafiki yake yale alio yafanya na mpenzi wake chumbani hii inakua ni sifa aonekane rijali au ukosefu wamalezi?
 
Ndo hapo na mambo ya chumbani yanatakiwa yabakie huko huko hata kama we ni mtaalam kiasi gani
Kwanza ni kujidhalilisha na kumdhalilisha yule uliyekuwa nae
Ila hao ni washamba na watoto wanataka wasifiwe kuwa wametoka kusex karibuni na kujivunia ujanja wa kusex na wanawake wengi
Kumbe ni ulimbukeni na utoto
 
Habari zenu wana JF,
Jamani naomba niulize kuna wanaume wengine wanakua na wapenzi wao chumbani wanafanya mambo yao wao wawili ambayo ni siri yao
Ghafla akito hapo anaongelea kwa rafiki yake yale alio yafanya na mpenzi wake chumbani hii inakua ni sifa aonekane rijali au ukosefu wamalezi?
.

Wewe umejuaje kuwa wanasimulia? Kama ushasimuliwa si ungekanya huyo aliokusimulia?
 
ila kichwa cha habari kimekaa vibaya,ebu rekebisha_inakua kama wanaume wote vile,...halafu ni mashoga...uuuuuuuuuuuuuh!...puuuuuuf
 
.

Wewe umejuaje kuwa wanasimulia? Kama ushasimuliwa si ungekanya huyo aliokusimulia?
Siku simuliwa mie kuna baradhuli moja hapa kazini lilikua linamuelezea mwenzie wanacheka anamwambia mwenzie demu anajipinda kuliko mshare,ndio nikaliona halina akili hata kidogo alipo kwenda kwenye office yake huyo aloelezewa anampigia cm yule msichana eti Duh ! shem nakupa hongera ulivyokua mjuzi kwenye mambo flani,yani kanikeraaaaaaaaaaaa!
 
ila kichwa cha habari kimekaa vibaya,ebu rekebisha_inakua kama wanaume wote vile,...halafu ni mashoga...uuuuuuuuuuuuuh!...puuuuuuf
Usihadaike na rangi tamu ya chai sukari, kichwa cha habari kimekaa vizuri wala hakija mtaja mtu au unataka kutueleza nini?
 
Hao ni wale waliojua mapenzi ukubwani. Bado ni wagen wa mambo hayo.
 
Mara nyingi hawa ni malimbukeni na wachovu,ila wanaziba kasoro zao kwa kuwatangazia wenzao ili waonekane nao ni hodari.
 
so far unawazungumzia wavulana......
wanaume wa kweli huwezi zungumza siri ya mwanamke yeyote ile hata awe vipi...

kwani ukifanya hivyo waweza kukutana makauzu wakasema ya kwako hata ya kutunga tu..
ujute.....

kuna movie moja ya ki nigeria

jamaa alikuwa na tabia hizo
akapata mwanamke fyatu....akamtangaza jamaa ni five minutes guy...
unaweza kuhisi kilichotokea...
 
We mwongo mkubwa na matumizi yako mabovu ya kugha,ulitakiwa useme "baadhi" ya wanaume,ila ulivyosema bnafsi najizuia kukusema hovyo kwa maana mie siyo shoga na wala si kama shoga
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom