Kwa hiyo ina maana hata kama jamaa akimuowa huyo binti,ina maana kama huyo binti akitangulia mbele ya haki jamaa hata weza tena kulala na mwanamke mwingine?
Kwa maelezo aliyoambiwa na mganga.. Ni mpka binti akubali yeye mwenyewe kwa hiari ndiyo maana kaambiwa aende azungumze naye aone itakavyokuwa bintu akikataa inabidi amuoe tu. na mfano akifa ilihali alikwisha muoa hakuna tatizo..
Kiufupi maneno aliyokuwa anamshawishi binti yule kipindi anamtongoza ni kama agano alifanya na Binti yule kupitia dawa alizotengenezewa
Sasa ili avunje agano ilo inabidi muhusika aridhie
Na akifa itakuwa ngumu hali yake kurudi kama kawaida maana
Kuna dawa anabidi waziweke katika maungo yao ya uzazi ili wavunje agano..
Kwa maelezo aliyoambiwa na mganga.. Ni mpka binti akubali yeye mwenyewe kwa hiari ndiyo maana kaambiwa aende azungumze naye aone itakavyokuwa bintu akikataa inabidi amuoe tu. na mfano akifa ilihali alikwisha muoa hakuna tatizo..
Kiufupi maneno aliyokuwa anamshawishi bintu yule kipindi anamtongoza ni kama agano alifanya na Binti yule kupitia dawa alizotengenezewa
Sasa ili avunje agano ilo inabidi muhusika aridhie